asante sana mdada kwa ukweli huu hawa ni watoto wadogo hawajakumbana na misukosuko ya maisha wanatoa concusion za kiprimary au za kimjini mjini tembea na hakikisha unafanya research sio unakuja na mada mfu kama hii eti ukitoka kwenye ndoa unakwenda kwa shetani what a nonsense!!!!!!!mambo ya ndoa yaacheni ukiwa na wanandoa saba ni sawa na kuwa na rangi saba tofauti kabisa in appearance ,jinsi zinavyojiendesha na kukabiliana na matatizo yyt,ni vitu viwili tofauti kabisaaaa sasa huwezi kujeneralize neno "ndoa"