Mada ni sahihi lakini haitakiwi iwe lazima kila mtu aweze kumudu huo ushauri mana situation zinatofautiana.nadhani ndo mana Mungu hajaiweka kwenye amri,ila tu amesema anachukia kuachana.
Na sjaelewa kwanini wamenyooshewa kidole wanawake tu,au wanaume wao ni ruksa?
Kingepatikana kiini cha ndoa nyingi kufikia hali mbaya za sasa ingesaidia kuliko kushoot bila target.
Kimtazamo nadhani kuna viini vya matatizo au mbegu mbaya ambayo tunaivuna sasa;Wazazi wengi hawafurahii partners wa watoto wao,kwasababu tofauti,ndoa nyingi zinaathirika na maswala ya uchawi,maagano ya shida na raha,umeoa lakini ushauri wa wazazi ndugu ndo unaongoza nyumba yenu,wapenzi wa zamani may b hawakufuraia wewe kuoa au kuoelewa nao hatujui watakuadhibu vipi,zinaa kabla ya ndoa,na mengineyo ambayo yamefungua mlango ili divorce aingie kwny ndoa.
Mwisho,sio kila aliyedivorced kaopt,wengine ni wanaume ndio wamewafanya wakubali talaka.