Kimbweka
JF-Expert Member
- Jul 16, 2009
- 8,597
- 1,683
- Thread starter
- #21
Sidhani kama mtu anavyyoingia kwenye ndoa anafikiria kutoka, ni circumstances zinazomfanya mtu atoke; na wengi (hasa waafrika) huvumilia mambo mengi tu lakini kuna situation zingine ukipima madhara ya kubaki (kisa unaogopa kutopata mwingine) na madhara ya kuondoka ni mara mia kuondoka.
Ni kwamba hapo mwanzoni anakuwa hakufanya uamuzi/uchaguzi sahihi...
Na kama ujuavyo kwa sasa asilimia kubwa ya wadada wana viherehere vya kuolewa....
Katika ndoa siyo kila siku ni FURAHA kuna MIGONGANO na si kwenye ndoa tu ni katika maisha kwa ujumla
Labda umpate mwanaume toka sayari nyengine lakini si hapa duniani , migogoro ipo....... jua namna ya kuishinda...
Kushinda tatizo siyo kulikimbia ni kulikabili na kupambana nalo..............