Ndoa inakubana na unahitaji devorce. Usijidanganye..! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndoa inakubana na unahitaji devorce. Usijidanganye..!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Kimbweka, Sep 14, 2012.

 1. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Talaka huumiza kuliko kifo, hata hivyo kwa baadhi ya wanawake walioolewa sasa wanaona talaka ni uhuru na maisha.
  Hujiona wao young and beautiful, hakuna mtu wa kumwambia fanya hili au kile, no demands, hakuna kulaumiwa, kuonywa, kusemwa, kuamrishwa, hakuna kumpikia dinner wala lunch, hakuna utumwa, na akiangalia nje ya ndoa anaona mwanga ni mzuri unaopendeza, anajiuliza kwa nini kuteseka wakati huko nje kuna wanaume wengi tu wananihitaji.
  Anafikiria namna anaweza kurudi kwenye maisha ya ujana upya, ulimwengu mpya kwani hakuna kuzozana tena, hakuna kulalamikiana tena, hakuna kuulizana umetumiaje fedha.
  Mwanamke anafanya kweli, anaachana na mume wake na kila mtu kuanza kivyake.
  Kwa mara ya kwanza anaona mambo ni mazuri, baada ya kusuguana na mume kwa muda mrefu sasa anajiona amepata ahueni, uhuru kwa kwenda mbele.
  Sasa nikueleze ukweli wenyewe!
  Kawaida wanawake wengi (siyo wote) wanaoachana na waume zao umri wao mara nyingi ni kuanzia miaka 28 – 40.
  Maana yake huko nje wanakoamini kuna wanaume wa kuwaoa wapo wanaume wa aina mbili tu, kwanza ni wale ambao nao wameachana na wake zao na pili ni wale ambao ni single (hawajawahi kuoa).
  Mara nyingi hawa wanawake huwaogopa sana wanaume wa kwanza hapo juu kwa kuwa ndo walewale ambao wameachana nao, hivyo Hujiuliza swali “kwa nini ameachana na mke wake?”
  Hii ni dalili kwamba anaweza kuwa ni big trouble!
  Hii ina maana sasa amepunguza idadi ya wanaume ambao anaweza kuoana nao tena kwani tumebakiwa na wanaume ambao hawajawahi kuoa yaani wapo single.
  Hapa anamtafuta mwanaume ambaye ana sauti nzuri, mtaalamu wa kuongea, romantic, tender, passionate, mwelewa, mwenye fedha za kutosha, mwenye taaluma nzuri kama vile lecturer, Diplomat au millionaire, mwanaume ambaye hata
  Watoto wake watajiona wana baba wa uhakika, ambaye si mlalamikaji, anayeweza kuwafanya kusafiri kila Mahali wanapotaka duniani na mwanaume ambaye atavutiwa na yeye tu na si vinginevyo.
  Tuseme wewe mwanamke uliyeamua kutimka kwa mume wako sasa una miaka 38, je unadhani ni rahisi kumpata mwanaume wa aina hii ambaye amekuzidi umri au mnakaribia au sawa.
  Ni mwanaume gani mwenye sifa kama hizo anaweza kukubali kuoana na mwanamke aliyeachana na mume wake?
  Kama amekuzidi umri na wewe una miaka 38 inakuwaje hadi sasa awe hajaoa, utasema alikuwa anasoma PhD, yaani na PhD yake aje akuoe wewe uliyeachika na mume wako?
  Si rahisi kama unavyofikiria!
  Ukweli ni kwamba mwanaume wa aina hii anapatikana kwenye TV na Movies!
  Anapatikana kwenye mawazo, anapatikana fantasy land na si kwenye maisha halisi!
  Nafasi ya kumpa mwanaume wa aina hii ni moja kati ya milioni moja.
  “Don’t permit the possibility of divorce to enter your thinking, even in a moment of great conflict and discouragement, divorce is not a solution”

  Unaweza kujikuta wewe mwanamke ndiye unawawinda wanaume, kwa taarifa yako mwanaume hayupo wired kuwa kuwindwa badala yake yeye hufurahia kuwinda.
  Utajikuta ni lonely na unazeeka haraka kuliko ulivyotegemea.
  Wanawake walioolewa ambao walikuwa rafiki zako wataanza kujisikia uncomfortable na wewe, wanakuona ni mwanamke loose na dangerous kwa waume zao na wanaanza kukukwepa na kuweka ulinzi mkali kwa waume zao, na wanaume ovyo nao wanaanza kukushangaa mbona hutaki kulala nao, wanakuona wewe ni cheap target!
  Kutafuta talaka ni kupoteza uraia wako, hadhi yako na uhuru wako.
  Utajikuta unakaa nyumbani mwenyewe peke yako usiku hadi usiku, hofu itaanza kukuingia, kujiamini kunaanza kupotea, unaanza kujiona huvutii tena na watu wanakudharau.
  Talaka ni kubadilisha matatizo ya zamani na kujipa matatizo mapya.
  “Guard your relationship against erosion as if you were defending your lives”
  Kumbuka ukishirikiana na mume wako mnaweza kurudi tena kwenye raha ya maisha kama vile mwanzo mlipoanza ndoa yenu.
  Hebu itazame hii njia vyema, tafakari chukua hatua.

  [​IMG]

  AMEN...............!!!!!
   
 2. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
  KIMBWEKA; UKO SAHIHI, bahati mbaya hawa wenzetu 10/1 mwl wao ni mmoja.
   
 3. k

  kisukari JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,761
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  What??ina maana lazima uwe na mwanamme?huwezi kuishi bila mume?acha kupotosha watu na kufanya mume ndio kila kitu.kuna matatizo mengine inafikia stage talaka is the best solution,ingawa ki jamii ni kama taboo fulani.maybe kwa wengine ila kwa experience yangu mimi,najiongelea kama mimi,maneno yako hayana ukweli.
   
 4. U

  Upanga Senior Member

  #4
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 135
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  chezea wanawake wewe!!!!!!!!!!!!
   
 5. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,123
  Trophy Points: 280
  Acha kukremisha! Cha muhimu ni kutafuta FURAHA na AMANI hata ikibidi uolewe mara 20
   
 6. d

  destiny1 JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 250
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Baadhi ya wanaume ikifikia mwanamke ndio amesema ndoa basi huwa wanatafuta justifications nyingi as if wako so concerned na maisha ya wanawake...... kumbe wanaogopa kuachwa, kumbe baadhi ya wanaume wanaharibu makusudi coz wanajua mwanamke hana option? kwani unafikiri kila mwanamke anaondoka akifikiria kupata mwanaume mwingine? kuna watu wameachana na waume zao na hata uwaambie dunia hii haina mwanaume mwingine zaidi yake huyo mwanaume, hawabadili msimamamo
   
 7. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Tu wache utani kuna wanaume wengine hawajui namna ya kuishi na wake zao, na ni bora kwa mwanamke aishi bile mwanaume, kuna wanawake wengine wana nyanyaswa sana na wanaume na usisahau everyone just wants to be happy and take the easy road.

  Mimi nawaunga mkona kabisa wanawake ambao wanaomba talaka sababu wana nyanyaswa, na wanadharauliwa na wanaume zao.
   
 8. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Ameeleza vizuri Sana, Kama Hutaki kumsikiliza nyamaza kuna wanaosikiliza, anachosema bora kujitahidi kudumu Kwenye ndoa kuliko kutaka kutoka kijinga.

 9. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  What a nice message? Love it up/down, very good thinking.

  QUOTE=Kimbweka;4626096]Talaka huumiza kuliko kifo, hata hivyo kwa baadhi ya wanawake walioolewa sasa wanaona talaka ni uhuru na maisha.
  Hujiona wao young and beautiful, hakuna mtu wa kumwambia fanya hili au kile, no demands, hakuna kulaumiwa, kuonywa, kusemwa, kuamrishwa, hakuna kumpikia dinner wala lunch, hakuna utumwa, na akiangalia nje ya ndoa anaona mwanga ni mzuri unaopendeza, anajiuliza kwa nini kuteseka wakati huko nje kuna wanaume wengi tu wananihitaji.
  Anafikiria namna anaweza kurudi kwenye maisha ya ujana upya, ulimwengu mpya kwani hakuna kuzozana tena, hakuna kulalamikiana tena, hakuna kuulizana umetumiaje fedha.
  Mwanamke anafanya kweli, anaachana na mume wake na kila mtu kuanza kivyake.
  Kwa mara ya kwanza anaona mambo ni mazuri, baada ya kusuguana na mume kwa muda mrefu sasa anajiona amepata ahueni, uhuru kwa kwenda mbele.
  Sasa nikueleze ukweli wenyewe!
  Kawaida wanawake wengi (siyo wote) wanaoachana na waume zao umri wao mara nyingi ni kuanzia miaka 28 – 40.
  Maana yake huko nje wanakoamini kuna wanaume wa kuwaoa wapo wanaume wa aina mbili tu, kwanza ni wale ambao nao wameachana na wake zao na pili ni wale ambao ni single (hawajawahi kuoa).
  Mara nyingi hawa wanawake huwaogopa sana wanaume wa kwanza hapo juu kwa kuwa ndo walewale ambao wameachana nao, hivyo Hujiuliza swali “kwa nini ameachana na mke wake?”
  Hii ni dalili kwamba anaweza kuwa ni big trouble!
  Hii ina maana sasa amepunguza idadi ya wanaume ambao anaweza kuoana nao tena kwani tumebakiwa na wanaume ambao hawajawahi kuoa yaani wapo single.
  Hapa anamtafuta mwanaume ambaye ana sauti nzuri, mtaalamu wa kuongea, romantic, tender, passionate, mwelewa, mwenye fedha za kutosha, mwenye taaluma nzuri kama vile lecturer, Diplomat au millionaire, mwanaume ambaye hata
  Watoto wake watajiona wana baba wa uhakika, ambaye si mlalamikaji, anayeweza kuwafanya kusafiri kila Mahali wanapotaka duniani na mwanaume ambaye atavutiwa na yeye tu na si vinginevyo.
  Tuseme wewe mwanamke uliyeamua kutimka kwa mume wako sasa una miaka 38, je unadhani ni rahisi kumpata mwanaume wa aina hii ambaye amekuzidi umri au mnakaribia au sawa.
  Ni mwanaume gani mwenye sifa kama hizo anaweza kukubali kuoana na mwanamke aliyeachana na mume wake?
  Kama amekuzidi umri na wewe una miaka 38 inakuwaje hadi sasa awe hajaoa, utasema alikuwa anasoma PhD, yaani na PhD yake aje akuoe wewe uliyeachika na mume wako?
  Si rahisi kama unavyofikiria!
  Ukweli ni kwamba mwanaume wa aina hii anapatikana kwenye TV na Movies!
  Anapatikana kwenye mawazo, anapatikana fantasy land na si kwenye maisha halisi!
  Nafasi ya kumpa mwanaume wa aina hii ni moja kati ya milioni moja.
  “Don’t permit the possibility of divorce to enter your thinking, even in a moment of great conflict and discouragement, divorce is not a solution”

  Unaweza kujikuta wewe mwanamke ndiye unawawinda wanaume, kwa taarifa yako mwanaume hayupo wired kuwa kuwindwa badala yake yeye hufurahia kuwinda.
  Utajikuta ni lonely na unazeeka haraka kuliko ulivyotegemea.
  Wanawake walioolewa ambao walikuwa rafiki zako wataanza kujisikia uncomfortable na wewe, wanakuona ni mwanamke loose na dangerous kwa waume zao na wanaanza kukukwepa na kuweka ulinzi mkali kwa waume zao, na wanaume ovyo nao wanaanza kukushangaa mbona hutaki kulala nao, wanakuona wewe ni cheap target!
  Kutafuta talaka ni kupoteza uraia wako, hadhi yako na uhuru wako.
  Utajikuta unakaa nyumbani mwenyewe peke yako usiku hadi usiku, hofu itaanza kukuingia, kujiamini kunaanza kupotea, unaanza kujiona huvutii tena na watu wanakudharau.
  Talaka ni kubadilisha matatizo ya zamani na kujipa matatizo mapya.
  “Guard your relationship against erosion as if you were defending your lives”
  Kumbuka ukishirikiana na mume wako mnaweza kurudi tena kwenye raha ya maisha kama vile mwanzo mlipoanza ndoa yenu.
  Hebu itazame hii njia vyema, tafakari chukua hatua.

  [​IMG]

  AMEN...............!!!!![/QUOTE]
   
 10. r

  ral Senior Member

  #10
  Sep 14, 2012
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 126
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kimbweka salute,

  from my experience, nimeshaona ndugu zangu watatu waliodivorce, na believe me ni mwanzo wa matatizo. In fact wanakuja kugeuzwa nyumba ndogo na watu ambao wanaishi vizuri tu na wake zao au kugeuzwa hit and run na vijana, what kind of life! Jamani ukweli ni ukisha ingia kwenye ndoa omba Mungu kila siku akuepushe na divorce
   
 11. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #11
  Sep 14, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Wewe unaweza kukubali kuona dada yako au bint wako ana nyanyaswa kwenye ndoa....Talaka ziliwekwa kwa sababu flani, vipi mtu akae kwenye ndoa asio ifurahia haingii akilini hata siku moja.
   
 12. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #12
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Vizuri according to you, and who on earth are you to tell others what to do and not to do?

  Na ni nani anayetafsiri kutoka kijinga na kutoka kiakili?
   
 13. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #13
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Lazima uwe na mwanaume wako la sivyo ni changudoa.......
   
 14. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #14
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Hakuna cha akili wala kijinga....
  Unapoingia kwenye ndoa usifikirie kutoka...ni bora usingeingia kabisa...
   
 15. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #15
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Suluhisho siyo talaka....
  Suluhisho ni kuondoa hayo manyanyaso..............
   
 16. awp

  awp JF-Expert Member

  #16
  Sep 14, 2012
  Joined: Jun 6, 2012
  Messages: 1,714
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  napita, kwa vile siijui ndoa till now!
   
 17. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #17
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Huo ni umalaya na ukiruka njia ......utaishia pabaya
   
 18. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #18
  Sep 14, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mnapenda kuchezewa eeehh.....?????????
   
 19. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #19
  Sep 14, 2012
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,591
  Likes Received: 801
  Trophy Points: 280
  Sidhani kama mtu anavyyoingia kwenye ndoa anafikiria kutoka, ni circumstances zinazomfanya mtu atoke; na wengi (hasa waafrika) huvumilia mambo mengi tu lakini kuna situation zingine ukipima madhara ya kubaki (kisa unaogopa kutopata mwingine) na madhara ya kuondoka ni mara mia kuondoka.
   
 20. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #20
  Sep 14, 2012
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Huu ushauri ni mzito kwa sisi tulo kwenye ndoa tumemuelewa sana.
  Solution nyingi tunazodhani ni solution si solution ...tunakokimbilia ni giza.

  Kikubwa ni kulinda ndoa zetu ziwe mahali pa vicheko na starehe na si jehanamu...ili haya mambo ya divorce tuyasikie tu kwenye bomba.

  Kuna mdada ame divorce lakini mpaka leo anavaa pete. Kitu kinakuwa na thamani pale unapokipoteza.

Loading...