Ndoa inaelekea kunishinda

Utajuaje kama atakuletea maradhi ama la!ndugu yangu ni maumivu mno
Anachokipitia huyo dada Kwa sasa kama mtu hajawahi kupitia basi. Hatoweza kuhisi uchungu anaoupitia Kwa sasa
 
Kwani mmegandishwa na super glue!!!

Kama huwezi vumilia sepa, kama unaweza kula ganzi uleee mimba maana ukiendelea kuumia ndani kwa ndani kifuatacho aitivii ni ujauzito kuchoropoka...
 
Achana na simu za mumeo utaishi kwa amani na furaha kwenye ndoa yako na hata usijutie kuolewa na huyo jamaa wanaume wote tuna mambo ambayo kiukweli tunawaudhi lakini ndio hivyo maisha yanaenda.
 
Hiyo ndoa si aliyekupa ni Munguz basi rudi magotini kamlilie Mungu, akupe hekima ya kudeal na changamoto ya ndoa yako, kila ndoa ina matatizo yake, ukiambiwa hapa utaona yako ina nafuu. Pia pendelea kusoma vitabu mbali mbali kuhusu ndoa, vikuongezee ujuzi na maarifa ya kudeal na changamoto. Mungu anaweza kuponya maumivu ya moyo wako, rudi kwake. Sisi huku tutakuchanganya tuu
 
Uhai kwanza. Kuna mimba nyingine changamoto zinasumbua mno kama mtu anajua mwenza wake ana ujauzito halafu una changamoto bado unaendekeza sex hapana. Kama unampenda mwenzi wako na kujali afya yake utavumilia tu mpaka akae sawa.
 
Kama unahisi unampenda na unahitaji kuwa naye acha KUMFATILIA usishike simu yake jifanye kama uoni wala uelewi chochote.. hakikisha unampangia mpango wa kwenda kupima AFYA kati ya kila miezi mitatu mpaka sita.. ki uhalisia hajitambui na hakufanyii maovu wewe ni anajifanyia maovu yeye mwenyewe na anajikosea yeye mwenyewe.. Kikubwa USIMFATILIE hakikisha unacheza position yako na siku akitambua kama ni mpumbavu ataacha .. na utainjoy maisha yako sasa hivi ukitaka uinjoy ni USIMFATILIE.. act like ujui chochote
 
Naelewa unachopitia ndugu yangu.
Tutakushauri mengi ila wewe ni mwamuzi wa kila kitu.usiache kusali pamoja na kumuombea mume wako Kwa Mungu.wanaume wengine wanapitia changamoto nyingi sana katika ulimwengu wa roho.Mungu husikia maombi yetu na huyajibu Kwa wakati sahihi
 
Uhai kwanza. Kuna mimba nyingine changamoto zinasumbua mno kama mtu anajua mwenza wake ana ujauzito halafu una changamoto bado unaendekeza sex hapana. Kama unampenda mwenzi wako na kujali afya yake utavumilia tu mpaka akae sawa.
Hujawahi experience hiyo hali maana wewe ni mwanamke. Unajua sisi sper-ms zikishatengenezwa lazima zitoke. Kama umezoea nyeto utapiga chooni zitatoka lakini kama umezoea zinatoka katika K, hata unyeto vipi hazitoki na hata zikitoka Ccm Juu itafanya mishipa ya dushe ikuume ajabu. Kwa hali hiyo Machangu wa barabarani huwa ndiyo wanaokoa jahazi unatandika viwili kwa buku 2 unarudi home kwa mkeo na penzi moto moto. Ubinafsi unakufanya wewe uone anahitaji kuvumilia, maumivu huwa hayavumiliki na kumbuka Mchepuko ni shock absorber ya ndoa
 
Utajuaje kama atakuletea maradhi ama la!ndugu yangu ni maumivu mno
Anachokipitia huyo dada Kwa sasa kama mtu hajawahi kupitia basi. Hatoweza kuhisi uchungu anaoupitia Kwa sasa
Maumivu makali,avumilie tu
 
Ebu acha kutetea uovu kwa uovu. Haya wale wanaokuwepo jela wanatoaje hizo sperms zao au wao sio marijali? Ukiwa mgonjwa kitandani utazitoaje? Kujiendekeza tu kwani unafikiri wanawake ni magogo wao hawana ashki?. Kwahiyo mchepuko ndio kazi yake hiyo basi msitoe macho na nyie mkisaidiwa kipindi ambacho mnashindwa kuhudumia wake zenu.
 
Hiki ndio chanzo cha matatizo ya ndoa nyingi sana kumkadilia mume wako kama yeye ni malaika. Yaani mwanamke umemtunza anapendeza alafu anataka mulale kama Kaka na dada yake. Usimpige miti, usimkojoze wapi na wapi ukininyima mbususu naitafuta inakopatikana
wamama badilikeni
 
Najaribu kuwaza sana ulianzaje kuwauliza hao wanawake maswali?hapo unauchungu,hasira na mengineyo.vipi ulitumia njia ya kistaarabu kuzungumza nao au ndo hivyo tena…

Maana michepuko na yenyewe inamajibu yao ya kipuuzi sana ukiwaingilia vibaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…