Ndoa inaelekea kunishinda

Kuna njia mbili tu. Kuamua kuiacha ndoa au kuendelea kuvumilia na kuacha kumfatilia mpaka hapo mwenyewe nafsi itakapo msuta. Ukiamua kuvumilia unatakiwa uwe na roho ngumu. Uende kumpa heshima yake kama mume na huduma zote bila kujali ambacho unakijua kuwa anakusaliti. Ukifanikiwa hilo ndoa utakua umeiweza na yeye mwenyewe atajishtukia hata akiwa anakucheat kamwe hutojua na hata ukija kuambiwa wewe mwenyewe ndio utakataa.
 
Jambo la kukushauri hapo Ni kwamba usinichunguze kabisaa achana nae focus kwa mtoto tu bas maana unaweza pata presha ikaharibika hiyo mimba.

Jifunze kuwa mwanaume hachunguzwi hasa kwenye simu maana utapata msiba usio na ndugu bureee, akikuheshimu na kwamba hafanyi mbele yako baas hyo inatosha mengine achana nayo
 
Huu ni uongo, nakaribia kutimiza miaka Saba sasa kwenye ndoa na ngoma ndio kwanzaaaaa inogileeee
 
Duh..
 
Achana nae,hapo sasa jipende wewe mwenyewe na kiumbe ulichobeba,yeye fanya kama haumji Mpikie ale

Jilinde
Kula
Vaa Vizuri
Pendeza,jipendezeshe
Usimuulize
Usimfuatilie
Fanya mambo yako

Hiyo tabia ya kuchepuka hawezi kiacha,na yule mchepuko wa mwanzo aliyempogia simu mbele yako ni gelesha tu hawajaachana.
 
Duh! Asante ushaur wako ngoja niufanyie kazi
 
 

Pole sana miss chuga

Kwanza kabisa acha hizo mambo za kushusha na kupandisha presha yako. Jitunze afya yako kwanza ukifa leo mwenzio hata haweki matanga maana waombolezaji ndio hao ulosoma msg zao.

Kabla ya kuuliza umsamehe au ufanye nini. Kwakuwa mwanaume ndio anayeamuaga amuoe nani, hebu rudi nyuma ujiulize ujiulize katika kweli na haki bila kuuongopea moyo wako KWANINI LIAMUA KUKUCHAGUA WEWE KATI YA HAO AKAKUOA? Je, ilikua ni sababu ya upendo au kuna lingine?
Je, wakati anaamua kukuoa alikua na michepuko mingapi? Au hukiwahi kuligundua hilo?

Pole mwaya tunza afya yako na huyo mtoto uliyembeba, ondoa hasira maana huwezi badili chochote kwa kukasirika.

Jifunze kumwomba Mungu kwa imani yako maana kama yeye uliyeingia nae mkataba anakucheat hakuna anayeweza kumshurtisha aache na akupende na kukuheshimu wewe tuu na asiwe na mwingine. Kama amedhamiria kundeleza kabumbu atashauriwa, watamsema atakubali atakubali kuacha halafu atabadilisha mbwinu... sim ya michepuko atakua anaiacha nje ya nyumba kuwaridhisha

Michepuko mitatu ndoa ya mwaka mmoja bwana huyu katisha
 
Haya mambo ya kulazimisha ndoa ni noma kumbe😂
 
Watumishi wa Mungu wenyewe hawa wa mwendokasi?? Usimshauri dada wa watu kwenda kuhadaiwa huko halafu akaombwa na mzigo huko pia.

Dada akienda kuwashirikisha tu hao matapeli wao watamchkulia kama fursa. A lady looking for a shoulder to lean
 
Ushauri wako una nguvu za Giza aseeehh!achepukee!two wrong can't make it right man!
Sasa mtu ana mimba anaondokaje? Akamtese mwanae af kengine mwanamke akiwa na mimba huwa ngumu sana ku deal naye sababu tunda huwa hana hamu ya kukupa ndio wengi tunaanziaga kuchepuka hapo!

Maana unakuta una upwilu ila huna jinsi.
 
Tujue kwanza sababu za yeye kukuchiti tusijekua tunamlaumu Bure kumbe sababu ni wewe labda huumpi haki yake au unakiburi au jeuri au una dharau au humlidhishi maana sababu ziko nyingi sana.

Ila naona next time usiweke makosa yake tu pia elezea na yako ili tujue sababu Iko wapi ndio tuanze kutoa ushauri .
Huwezi kutibu tatizo bila kujua chanzo
 
Fuatilia vizuri ndugu yangu. Pengine huyo mchepuko aliepigiwa simu anacheza game tu ili amuharibie mwana kwako. Pengine kawapa hao wengine namba ya mwana ili wamtumie hizo msg kichaa wewe uzishike kiwake.

Mwana upo nae 5 years kabla hajaoa na alikuwa na uhuru wa kuchepuka lakini hakuwa hivyo, Leo miezi sita eti umshike na michepuko mitatu ghafla ghafla?? Mwana sio boya kiasi hicho.

Jengine, enyi wanawake, wavumilieni tu wanaume. Hali ni tete sana!

Kubalini ukewenza acheni kushupaza shingo.

Ukewenza ndio asili ya mwanadam.

Tutaelewana tu kidogo kidogo.
 
Bidada kwanza unatakiwa ujue kuwa huyo mumeo ajaanza kwenye ndoa yenu huo mchezo, huyo ameuanza tangu mko wapenzi mpaka mnafikia uchumba na kumaliza ndoa. Apo ni Mungu tu ndio kakufungulia uone Ili ujue ni jinsi gani utajilinda ww na mwanao dhidi ya magonjwa.

Mwanaume kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja Ilo ni jambo halizuiliki maana wameumbwa na tamaa, ni wachache Sana ambao atakuwa mwaminifu katika mahusiano yake na wapewe tunzo ya uaminifu kwa kweli. Kati ya hao wote ww ndiye uliyepata bahati ya kuolewa na huyo mumeo, ivyo shukuru umeijua tabia yake.

Ukiona nyani wamezeeka bado wapo pamoja ujue wamekwepa mishale, mikuki na nyundo nyingi uko mstuni. Kwa sasa angalia afya yako ww na mtt wako wa tumboni Ili usije ukampoteza na ata usije ukamchukia huyo mtt kiasi cha kutaka kufanya jambo lolote lile ovyo. Wazazi wetu mpk wanazeeka wapo pamoja, ujue mwanamke ndiye ameibeba ndoa, amevumilia sanaa, asa ktk vipindi vya kujifungua anachezea mikojo muda wote, mwanaume Yuko bize nje ya ndoa. Kama unapewa huduma zote, basi akili kumkichwa, unatakiwa ujiongeze apo,( kula na akiba acha). Kila la kheri.
 
Hivi unakumbuka wewe uliacha kusex maana kunauma? Ulitaka aishije?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…