Ndoa inaelekea kunishinda

Km umalaya ndo unakuumiza sana achana nae


Maana huyo mwanaume wako ni malaya kuzidi viwango vya kawaida vya wanaume wengine.

Hata sisi wapo ila unakuta mmoja wa kubalance akili kipindi ambacho mwanamke anapuuza majukumu yake ila huyo wako ni legend kabisa hakufai

Maana una mawivu utadhani kuna la maana unalifanyaga kupunguza hisia za kimapenzi za mumeo.Mkishaolewa mna ignore sex kabisaa as if sio responsibility yenu unadhani mwanaume ataweza sasa???
 
Na hichi ndokinachoniuma zaidi maana yake amefanya makusudi angekuwa mmoja ningesema bahati mbaya Ila 3 duh! Ndomana naona aibu kushirikisha ndugu naona Kama ntakuwa najivua nguo
Dada mumeo hukumjua tu toka mwanzo km ni mchepukaji anafanya hivyo toka yupo na wewe hiyo ni tabia yake.
Ni bora uelezee kwenu hata siku yakikushinda inajulikana sababu ni nini.

Hiyo aibu yako itakuponza utaendelee kuumia maisha yako yotel

Kwa mumeo baki kwa malengo yako tu...lakini ndoa imeshaharibika sbb humuamini tena mumeo ndiyo mwanzo wa ugomvi wa kila siku ,akishika simu ugomvi na akichelewa kurudi ugomvi hiyo yote sbb hakuna uaminifu.

Pole ila utapata tabu sana, omba Mungu mumeo awe na huruma ajutie makosa yake abadirike.
 
Sms tu unataka kukimbia ndoa?

Ukiondoka hapo baadaye utakuja kujiona ulifanya maamuzi ya kijinga, huyo malaika asiye na doa kamwe hautampata.
Wanaume wote tuko hivyo hivyo.. achana na kukagua kagua simu zake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Eti siku hizi mnafunga ndoa za nini, yaani tabia ya mtu mmoja ndio isababishe watu wasifunge ndoa. Jaribu kujenga hoja bila kupotosha watu. Siku hizi issue za kuporomoka maadili ni kubwa na sababu kubwa inaelezwa ni wazazi kukosa commitment kwenye malezi wewe unasema ndoa zisifungwe.
 
Hahaa! Pole sana, hiyo ndiyo adha ya kuoana vijana wadogo wadogo kabla ya kukomaa akili. Wenzenu tulikuwa tunaoana tukiwa fit kiakili na kimwili na kiroho baada ya kuchunguzana angalau miaka mitatu kwa uchache! Sasa ndoa za siku hizi watu wakichunguliana paja kwenye bar au hotel basi tayari muda mfupi ujao wamekaa meza moja. Baada ya hapo wanapelekana Lodge kulana NDIZI, na huko ahadi mbalimbali zinatolewa ikiwemo kuoana.

Sasa hapo watu wameteseka kuchanga hela zao kwaajili ya harusi yenu nyie munawaza kuachana, hivyo ni vituko. Mliapa kanisani kuwa katika shida na raha mtakuwa wote hadi kifo kiwatenganishe, kwa hiyo hapo mpo kwenye shda, kitakuja kipindi cha raha, bado mnatakiwa kutunza kiapo chenu. Kama mliapa kwa kugheresha watu ndipo hapo mtakoma maana ndiyo maana ya kiapo. Pia kama upo mja mzito ina maana NDIZI unapata, sasa shida yako ni nini kama NDIZI unakula dada yangu?
 
Wapi nimesema ndoa zisifungwe?
 
Anza na wewe kula NDIZI sehemu sehemu! Kwanza una umri gani hadi unalalamika hivi, utadhani tangu dunia iumbwe ndiyo tatizo umeanza no wewe! Mambo ya kucheat n ya kawaida sana katika dunia ya leo. Nakuambia zaidi ya asilimia 90 unaotuomba ushauri humu yaani wake kwa waume wana michepuko yao. Wengine wanajifanya kukuonea huruma humu kumbe saa hizi wapo na madume/ majike ya mchepuko kitandani. Wanakujibu huku NDIZI inaunguruma kitandani na ni ya mchepuko. Kwa hiyo wewe nenda na wakati pia badala ya kulalamika humu! Sijui umri wako ni miaka mingapi sasa hivi!
 
Usichukue ushauri wa huyu mwamba utavunja ndoa yako mapema sana.

Usichepuk, usiwaze kuchepuka wala usijaribu kuchepuka hata kidogo. Utaua ndoa yako mapema sana na inaonekana wewe si mzoefu wa hizo mambo utadakwa na mara nyingi wanaume uvumilivu ni F utaachwa siku hiyo hiyo.
 
Hahaha, mkuu najaribu kucheza safe tu mzee. Ndio maana nasema nikimtokea mtu namwambia live NINA MKE! akinikataa hewala sasa nifanyeje...
Am watching you
 
Mwanamke kushindana na mwanaume kuchepuka huyo mwanamke ni mjinga kupitilizaaa
 
Kitu naweza kukushauri acha kumfuatilia mumeo presha itakuua mapema focus kwenye utafutaji uwe na hela ili uje umlee vizuri mtoto wako
 
Baada ya hapo hiyo simu ya Siri akaweka mezani akatoka zake Ila kilichoniumiza zaidi baada ya lisaa zilikuwa zinaingia text kutoka no. tofauti tofauti 2
Hapa kuna kachumvi kametiwa. Huyu mwamba ametoka kuficha simu kabatini mpaka kuiacha mezani bila password? Au ni kitochi? Kama ni kitochi afadhali umwache aendelee tu. Wewe anxa mipango ya miaka 2 mbele na kuendelea. Usiwaze tena kuhusu huyo mtu. Mwambie akitaka ahamie huko kabisa. Lakini wewe baki na mali alizonazo kama nyumba.
 
Michepuko hawapiti dada

Uongo wa kuumizana huu.. tena hamna mtu mbaya Kama mwanamke AkitaMbua huyo bwana ni mume wa mtu..

Siku hizi wanaloga.. Yaani huyo mwanaume anaenda kuzama kwa mchepuko mzima mzima.
Duh! Balaaa sasa hili.
 
Pole ic. But sijui kwa wewe, ila wanawake wengi ni moja ya sabab wanaume wao wana cheat.
Why? wanawake wengi hawatimizi majukumu yao sawasawa.
Ingawa sio excuse ya mwanaume ku cheat lakini kuna wakati inaeza ikawa chanzo.
So kabla hujaanza kulalamika mwanaume wako ana cheat, kaa utafakari, Je wewe sio sababu kwa namna yoyote?
Ukiona wewe sio sababu, rudi kwenye kiapo mlichoapa, jiulize ulimpenda au ulilazimishwa


Kama ulimpenda, kumbuka kua upendo hauhesabu mabaya. Upendo unasamehe yote. Unapimaje upendo? ni kwenye nyakati kama hizo. Huwezi pima upendo wako kwa mtu kwenye nyakati nyepesi nyepesi.
ILA,
kama wewe kuna namna hutimizi majukumu yako kama mke kwa mumeo, achana na Jamii Forum nenda kajipange kuwa mke kwa mumeo.
Kajipange kusimama kwenye nafasi yako kama mke kwa mumeo.
Sijui dini nyingine, ila wakristo, biblia imesema mke ndie mlinzi wa mume wake.
Mana yake nini? Ukiona mume wako ana cheat....
nisamehe kusema hivi ila wewe mke kama mlinzi umekua mzembe.
Umeshindwa kumlinda mumeo umewaachia wenzio.
Kama umeamua kuja JF kuomba ushauri, basi ni wazi unataka kutengeneza ndoa yako.
Hatua nzuri hio ILA iwe ya dhati

Nikutakie kheri
 
Mnaishi wapi kwa sasa?
 
Una kazi inayokufanya uingize kipato?

Kama kazi unayo, bado ni mapema sana, tafuta pa kwenda. Kaa naye mbali.

Mimi nazungumza hivi nikiwa kama mtu ambae nasolve mno haya mambo, endapo angekuwa ni mtaifa, kuna namna ningekushauri ila sio mtaifa, means ameshindwa kujizuia kabisa.

Bora mtaifa asiyemjua Mungu kuliko anayemjua Mungu kisha akaawa hafanyi ya Mungu, huyo ni mbaya zaidi.
 
Na hichi ndokinachoniuma zaidi maana yake amefanya makusudi angekuwa mmoja ningesema bahati mbaya Ila 3 duh! Ndomana naona aibu kushirikisha ndugu naona Kama ntakuwa najivua nguo
Wengi wa tunaokushauri humu tukiwemo waume kwa wake tuna NDIZI zetu, kwa hiyo hakuna kuwindana sana na mume wako. Pili hata yeye unavyolalamika humu jf anasoma ujumbe wako pia maana na yeye ni member wa jf. Namfahamu vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…