Ndoa inaelekea kunishinda

Michepuko hawapiti dada

Uongo wa kuumizana huu.. tena hamna mtu mbaya Kama mwanamke AkitaMbua huyo bwana ni mume wa mtu..

Siku hizi wanaloga.. Yaani huyo mwanaume anaenda kuzama kwa mchepuko mzima mzima.
 
Mume wako ila unabaki kusubiri siku akipatwa na maradhi, amefulia au amefariki; ndiyo mke wa ndoa unakumbukwa sasa. Siku hizi wanaume wanahamia kwa michepuko mazima; unaachwa ndani na pete yako na vyeti vya ndoa.
Michepuko hawapiti dada

Uongo wa kuumizana huu.. tena hamna mtu mbaya Kama mwanamke AkitaMbua huyo bwana ni mume wa mtu..

Siku hizi wanaloga.. Yaani huyo mwanaume anaenda kuzama kwa mchepuko mzima mzima.
 
Michepuko hawapiti dada

Uongo wa kuumizana huu.. tena hamna mtu mbaya Kama mwanamke AkitaMbua huyo bwana ni mume wa mtu..

Siku hizi wanaloga.. Yaani huyo mwanaume anaenda kuzama kwa mchepuko mzima mzima.
Kulogana hapo habari nyingine

Michepuko ni kama sumaku.
 
Ulipata signs mapema ila ulitaka ndoa
Pole

Uzi wako huu 2021
 
Huwa hawakosi wa kuendelea kuwa michepuko, achana na haya ujifungue mtoto. Michepuko ni habari nyingine, tulia sali.
 
Read hii quotation..if u really want peace of mind make decisions..hata ukiachana nae utajifungua tu salama na maisha mapya utaanza wew na mwanao..usitazame watu watakusema vipi kwamba umeachika bali ishi maisha yako upendavyo wewe bila kujali society itaongea nini angali wao hawajui maumiv unayopitia..kama unakazi andoka haraka sana kama bado unamtegemea huyo mwanaume basi mpige tukio..nkimaansha mlaghai upate mtaji then uondoke ukayaanze maisha sehem nyingne... happiness start with you..Pole kwa yote but be a strong woman for ur unborn child
 
Kumbe mnajua mkizingua huwa tunazingua pia kimya kimya
 
Chukua hiyo ya Dr.mchezo endelea na ndoa yako..huyo ndio chaguo lako na ww ndio chaguo lake
 
Angalia tu isije kuwa nawewe ni wa hivi
 
Michepuko hawapiti dada

Uongo wa kuumizana huu.. tena hamna mtu mbaya Kama mwanamke AkitaMbua huyo bwana ni mume wa mtu..

Siku hizi wanaloga.. Yaani huyo mwanaume anaenda kuzama kwa mchepuko mzima mzima.
Kuwa karibu na Mungu na kuepuka Uzinzi ndio suluhisho tu. Vinginevyo hakuna namna.
 
hIvi weewe ndo miss chaga?
 
Na hiyo mimba yako ni bora tu uwaambie wazazi wako usifikiri utaweza kuvumilia hili....wambie watamsema hata yeye anaona aibu kuitwa kikaoni sababu ya umalaya. Atatulia au atachapuka kwa akili hutahisi kitu tena.

Kuhusu simu utashika tu kama unampenda sababu humuamini tena.

Pia ongea nae kuhusu hiyo michepuko yake asikuletee magonjwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…