Ndoa inaelekea kunishinda

Nimesoma comment za watu humu, wengi wanatamba kwakujiona ni manguli wa mapenzi.

Visanga vya mapenzi vikukute kwa mtu ambae haukuwa unampenda hapo unaweza kutamba vyovyote vile, ikitokea vimekukuta kwa mtu unaempenda na kumuamini kwa moyo wote aiseeeh maumivu yake huwa hayana mfano.


Mapenzi ni janga jingine linaloharibu kabisa maisha ya watu, asilimia 80 ya matatizo ya binadamu chanzo ni mapenzi either mwanaume au mwanamke.
 
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji16]kabisaa au anamheshimu mkewee!maana wengine ndo kama hao michepuko mi3 yotee na mkewe anajua na hapo ndo hatajali ataonesha live live sasa hivi
Inauma sana halafu mnaishi mwaka na maradhi juu halafu mnaanza kumlaumu MUNGU haipendezi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana, tuliza akili na kumwomba Mungu akufariji. Usifanye maamuzi yatakayokuumiza kipindi hiki cha ujauzito.

Pia unaweza kuongea na wazazi wake wakusaidie kuzungumza nae.
Wee kuna wazazi na wazazi ni afadhali hata huko alikofungia ndoa! Wazazi wengine hovyo sana bora nilie ndani siku 2 kisha niendelee na maisha yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimecheka kwa sababu mchana kuna uzi fulani umewakebehi wacha Mungu...umesema huwaamini WANAOJIFANYA wacha Mungu ila hapa naona rafiki yangu Relief Mirzska unampaka mafuta kwa mgongo wa chupa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Rey hawezi kunipaka mafuta kwa mgongo wa chupa. That's one!

Pili mimi simo katika wacha mungu kabisaaaa

Tatu wewe ndio ulininyima namba ya Heaven Sent (limekujaje?? Sijui) hahahaahahahahau
 
Pole dada
 
Mwanaume haachwi kwa kuchepuka ..hakuna mwanaume asiye na tamaa za wanawake wengine kwaiyo kuwa na michepuko kawaida ...achana na kauli eti uondoke jaribu kuvumilia ndio maisha ya ndoa yalivyo
 
Rey hawezi kunipaka mafuta kwa mgongo wa chupa. That's one!

Pili mimi simo katika wacha mungu kabisaaaa

Tatu wewe ndio ulininyima namba ya Heaven Sent (limekujaje?? Sijui) hahahaahahahahau
Kwa hiyo anafanyaje[emoji1787][emoji1787]
Wewe ushindwe kuomba namba kwa mhusika uje kuomba kwangu khaaa...mimi mwenyewe sina kwanza[emoji16]
 
Watano tu unalalamika je ungekuta 8 au 10,pole ndio mapenzi hayo
 
Eti[emoji848]
 
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…