Kuna utata mkubwa ktk hii nukuuBaada ya hapo hiyo simu ya Siri akaweka mezani akatoka zake Ila kilichoniumiza zaidi baada ya lisaa zilikuwa zinaingia text kutoka no. tofauti tofauti 2 baada ya kuchart nao kumbe nao ni michepuko yake tena jumla nimemfuma na wanawake 3 kwa wakati mmoja.
Una hofu na Mungu ukimpata mwanaume mwenye hofu na Mungu maisha yanasonga Sana'a!!!Huu ni uongo, nakaribia kutimiza miaka Saba sasa kwenye ndoa na ngoma ndio kwanzaaaaa inogileeee
Au sioUna hofu na Mungu ukimpata mwanaume mwenye hofu na Mungu maisha yanasonga Sana'a!!!
Au sio
Pole sana, tuliza akili na kumwomba Mungu akufariji. Usifanye maamuzi yatakayokuumiza kipindi hiki cha ujauzito.Na Mimi nawaza kitu Kama hicho niwe tu bize na maisha yangu na mwanangu aliye tumboni nafikiria kwanzia Leo nisishike simu yake Wala nisimfatilie akiamua kuchepuka achepuke maana nshaona nikijua naumia alafu ameshanikatisha tamaa coz ndokwanza tuna miezi 6 kwenye ndoa alafu namfuma na wanawake 3 Bora hata angekuwa mmoja ningesema labda kwakuwa na mimba ameona anitafutie msaidizi nafikiria hata siku akitaka nishiriki nae niwe tu Mimi natumia nae condom maisha yote kujiepusha na maradhi maana nimewasiliana na wadada wawili kati ya hao wanasema walikuwa hawatumii condom mmoja ndoanasubiri kazi ya upolisi hivyo alimforce wakapime ukimwi kuhofia asijepata maambukizi akakosa kazi, yani hata hajali afya yangu na mtoto wake mpaka Kuna wakati inanijia roho ya kishetani nawaza sijui nimchomee hata ndani jamani naumia Basi tu mpaka naona tena Kama huu ujauzito nlobeba ni mzigo kwangu maana mimba tu nayo inanitesa naumwa badala ya yeye kuwa faraja kwangu ndokawa Moto ananichoma
Hatari sana WallahiPunguza sauti
Kwa kweli vijana wanakosea sana. Sema nini?? Sometimes za mwizi arobaini tu.Sawa tutaacha, ila muwe mnawaambia kabisa wasiwe wanawatumia message mkirudi nyumbani no calls or text.. nyie mnawapa uhuuuru kama nini sijui
Hahaha, mkuu najaribu kucheza safe tu mzee. Ndio maana nasema nikimtokea mtu namwambia live NINA MKE! akinikataa hewala sasa nifanyeje...Umwambie ukweli mtu kama Khantwe ili akwambie mimi sitaki mume wa mtu???
Hahahaahahahahaha!
Eli unajifanya kama vile hizi mambo sio zako hahahahhahaha
I agree with you.Si ndo hapo??? Muwaambie ukweli jamani mnatu confuse huku.. af kumliza liza mkeo kisa wanawake wa nje ambao ungeweza kuwa control wala hupati baraka..
Mmmhhhhh wewe dada wewe duh"Love is a game for fools to play
And I ain't fooling again (fooling)
What a cruel thing (cruel thing)
To self-inflict that pain"
Ngoja niimbe zangu tu sina ushauri wowote zaidi ya kukusaidia kuharibu zaidi. Kwani unafikiri ataacha hiyo tabia? hiyo ndio tabia yake na itazidi baadae. Huwa tabia na makucha yanajitokezaga mapemaaa, kwahiyo kazi kwako kuzika au kusafirisha.
Yaani aminini tu kwamba we are trying really hard.Una hofu na Mungu ukimpata mwanaume mwenye hofu na Mungu maisha yanasonga Sana'a!!!
We say that's smart bro!Hahaha, mkuu najaribu kucheza safe tu mzee. Ndio maana nasema nikimtokea mtu namwambia live NINA MKE! akinikataa hewala sasa nifanyeje...
Yatapita tu hayo, vumilia..Ushauri wenu jamani mimi nimeolewa nipo kwenye ndoa hatujamaliza hata mwaka Ila kinachoniumiza mme Wangu ananisaliti, nimemkuta anamiliki simu ya Siri pamoja na line alikuwa kaficha kabatini baada ya kugombana naye akakubali kuwa ana mchepuko akampigia akaweka loud nikawa nawasikia akamuomba samahani kwa kumchezea akamwambia Mimi nimeoa, nina mke nmeona siyo vizuri kumsaliti mke wangu dada akalalamika we badae akakubali kumblock kidogo nikapata amani.
Baada ya hapo hiyo simu ya Siri akaweka mezani akatoka zake Ila kilichoniumiza zaidi baada ya lisaa zilikuwa zinaingia text kutoka no. tofauti tofauti 2 baada ya kuchart nao kumbe nao ni michepuko yake tena jumla nimemfuma na wanawake 3 kwa wakati mmoja.
Msamaha kaniomba Ila nashindwa kumsamehe, naumia sana Bora ningemkamata hata na mmoja nisingeumia sana Ila wa 3 ukitegemea ndoa haina hata mwaka nawaza sijui kalogwa, natamani nimshirikishe hata mchungaji wetu Ila napata wakati mgumu naona ni vitu vya aibu hata kushirikisha watu wetu wa karibu. Natamani niondoke Ila kinachonipa wakati mgumu tayari Mimi ni mjamzito yaani nawaza ingekuwa siyo hii mimba ningeachana nae ananifanya Hadi nakata tamaa na mimba niliyonayo kitu ambacho ni dhambi, Naombeni mnishauri nifanyaje nahisi kuchanganyikiwa nakosa maamuzi presha imeshuka naona Kama dunia imeniangukia kweli ndoa ni ngumu sana duh! Mungu anitie tu nguvu.
Ama kweli wanawake wametukatia tamaa kabisaTulia mumy ,upate mtoto wako ,huyo ndo atakua mfariji wako ,wanaume ndo walivo Jora moja tofauti ni mapana na urefu tu
If you don't know you don't knowMmh wewe ndio kivuruge. Mwisho wa siku wenzio wakianza kupata magonjwa nyemelezi kinga zipo chini wewe uko zako pembeni unawacheka. Kucheat ndan ya ndoa ya miezi 6 haimpi credibility mwanaume aliye serious na ndoa, NEVER.
Kwanini uoe na huwezi tulia na mwanamke mmoja. Kuna bahat mbaya sawa lakini ndoa bado changa una wanawake watatu nje tayari
Yo man!If you don't know you don't know
Ni kumwambia ukweli tu hamna kumung'unyamung'unya na kumdanganya. Yeye aliziona hizo tabia na kufungua uzi kabisa kuwa jamaa anachiti mpaka analeta ndani. Sasa akaamua kuingia humo. Raha ya ngoma uingie ucheze!. Love is a game, kaamua kuingia kwenye game acheze tu mpaka dakika ya 90 "No retreat No Surrender" . Wasitese kiumbe cha watu tu kisicho na hatia. Man Ho huwa hawaachi, wanapumzikaga tu kitambo kisha wanaanza tena.Mmmhhhhh wewe dada wewe duh