Ndoa inaelekea kunishinda

Umemalizia vizuri kweli. Yeye wala aaijipe presha atulizane tuu. Mwanaume kula mbususu moja labda kama hana hela🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Basi na nyie kaka zetu muwe mnachepuka kisirisiri kwani lazima hadi tujue jamani.. usaliti unauma sana sana.. muwaambie ukweli michepuko yenu muwekeane mipaka msijiachie sana
Ila hili neno. Yaani kama umeoa ni lazima mchwpeko aambiwe kiwa hapa tupoo kibutidani na wala mke simuachi.
Tena wanawake wa siku hizi mbona wanakubali tuu cha muhimu uwe na ndalamaa
 
Ukimchunguza kuku huwezi kumla hilo ndiyo kosa lako na unaonekana unapenda sana kupekua simu yake
Umemalizia vizuri kweli. Yeye wala aaijipe presha atulizane tuu. Mwanaume kula mbususu moja labda kama hana hela
 
Mtu hupati picha wife katoka huko alikotoka umeacha simu kizembe..nae kujifanya anajua ufukunyuku akaishika ili asome text...dadeq! Asipopata kiharusi sijui😂😂😂 some of us flirt sio poa yani!
Some of you hahahahaahah
 
Kabla ya kuolewa uliziona dalili zoooteee lakini ukapuuzia na kulazimisha ndoa


ukahamaishia hasira zako kwa mama mkwe


Pambana tu na hali yako mkuu. Bado waliochangia sherehe yenu hawajasahau maumivu ya pesa zao
 
Ahhahahahahaahahahahhaah

Unaona sasa unamlogesha mwenzio???!!!! Akiwa zuzu huoni kama hasara itakuwa kwa mtoto pia maana baba yake kawa zuzu???

Kausha bhanaaaa hahahahahaahah
 
Haya mambo usimwambie kabisa Khantwe
 
Basi na nyie kaka zetu muwe mnachepuka kisirisiri kwani lazima hadi tujue jamani.. usaliti unauma sana sana.. muwaambie ukweli michepuko yenu muwekeane mipaka msijiachie sana
Tatizo na nyie mnawafuatilia sana hao kaka zenu.

Mnasubiri mtu kalala mnachokonoa simu
 
Tulimuambia
 
Ila hili neno. Yaani kama umeoa ni lazima mchwpeko aambiwe kiwa hapa tupoo kibutidani na wala mke simuachi.
Tena wanawake wa siku hizi mbona wanakubali tuu cha muhimu uwe na ndalamaa
Si ndo hapo??? Muwaambie ukweli jamani mnatu confuse huku.. af kumliza liza mkeo kisa wanawake wa nje ambao ungeweza kuwa control wala hupati baraka..
 
"Love is a game for fools to play
And I ain't fooling again (fooling)
What a cruel thing (cruel thing)
To self-inflict that pain"

Ngoja niimbe zangu tu sina ushauri wowote zaidi ya kukusaidia kuharibu zaidi. Kwani unafikiri ataacha hiyo tabia? hiyo ndio tabia yake na itazidi baadae. Huwa tabia na makucha yanajitokezaga mapemaaa, kwahiyo kazi kwako kuzika au kusafirisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…