Ningeomba tu ufafanuzi,manake nimeona kama haihusiani na madaRudia au kwa kiswahili cha pwani repeat it again
Unamng'ang'ania wa nini? Achana naye.Wanawake wana changamoto sana. sio walioko kwenye ndoa wala michepuko ama GF's
kwangu huyu mshangaz ananipa stress sana.
anakuja kutaka sex pale anapojickia, hata mara moja kwa miezi mitatu kmmke😅😅😅
View attachment 3443913👇👇👇
Ulikuwa hujui hilo mkuu. Mi sina rafiki wala mahusiano ya kipuuzi na watu.sio ndoa tu hata mahusiano ya kijamii yako toxic Sana, I cutted ties na watu baadhi siku chache zilizo pita.
Uzee una shida gani? Tafuta helaKua single ni raha, shida inakuja mtu ukizeeka.
NAUNGA MKONO HOJA, bora kuwa mwenyewe .... kuna watu wanazingua kinoma...sio ndoa tu hata mahusiano ya kijamii yako toxic Sana, I cutted ties na watu baadhi siku chache zilizo pita.
Before sijaoa nilikua na soulmate wangu mmoja hang out sana... spending sanaa..michezo ya DO or DARE..Pole Sana mkuu , Ndoa ni madhabau ya migogoro by Freid Ngajiro A.K.A Vunja bei .
Ila uliposema umepata stroke umetumia lugha ya picha au ndo ukweli wa mambo .!!?
Uzi ndani ya UziBefore sijaoa nilikua na soulmate wangu mmoja hang out sana... spending sanaa..michezo ya DO or DARE..
Kuna siku nikampa deadline kua nataka kuoa akasema nimpe muda siku ilipo fika akasema still nimpe muda hapo Mimi pia upande wa pili nilikua na school mates wangu o-level nilimwacha darasa moja tulikua kwenye mahusiano.
Yule school mates wangu alinambia Mimi sieleweli anataka kuolewa so na kweli nilikua na mpoteza kimya kimya nikaenda toa mahari send-off na harusi zilipishana one week kilicho tokea yule SOUL MATE akarudi kwa nguvuuuuuuuu wakati nimeoa.
For sure Mimi nimeoa mtu anae nipenda zaidi ya Mimi navyo mpenda ni mwanamke alie ni shape kwenye vingi na alinijua tangu nikiwa kiranja o- level ni mfano wa mapenzi ya dhatii ambayo ni mpaka kifo aanze yeye au Mimi.
Sikuwa na kazi, pesa alikiwepo tupate kikubwa kidogo hicho hicho kilitutosha tunafichiana siri tuna saidiana tunashirikiana tunasaidiana nilipata ajari nikavunjika mguu sijiwezi chochote aliniogesha, nitawaza kama mwanae hapo hapo alikua mjamzito
Ushaur Oa mwanamke anae kupenda kama ulivyo usi oe matako, sura, pesa, au chochote materially Kuna mengi ya kuandika ngoja Kuna kazi niimalizie hapa
Kwanini mkuu ndoa sio MBAYA mpate mwanamke anae kupenda kukutii na kukuheshimu mwenye hofu ya MUNGU.Uzi ndani ya Uzi
kwenye maswala ya ndoa mkuu mi bado ni junior nakusoma kwa ukaribu sanaKwanini mkuu ndoa sio MBAYA mpate mwanamke anae kupenda kukutii na kukuheshimu mwenye hofu ya MUNGU.
Mimi mama yangu mzazi ana lingana umrii na mama SAMIA mzee wangu kazaliwa 1954's na still mpaka hili bandiko linaenda hewani wapo pamoja despite all odds in life
Wanandoa na wapenzi hutengana sababu kubwa zipo tatu DIFFER IN INTEREST, FINANCIAL CONSTRAINTS E.T.C
Ila nazan ukiwa na hela unaweza kuweka mambo sawa hata uzeeniKua single ni raha, shida inakuja mtu ukizeeka.
Upo sahihi.Kwa wale ambao hamjaoa tafuteni watu wenye hofu na Mungu
Hongera kaka .Before sijaoa nilikua na soulmate wangu mmoja hang out sana... spending sanaa..michezo ya DO or DARE..