Ndoa imenishinda wana Jf, nipeni mwongozo tafadhali.......!

Umeongea mambo mazuri unayomfanyia lakini moja bado hukulisema la Kibiologia, jua jinsi ya kummega mama mjamzito, kununa kutapungua. Usimhurumie wewe nenda naye sambamba usiache hata siku moja kummega tena mmege kwa style ya ajabu atacheka tu
 
Kama amegoma kupanda gari muache atembee tu, kwanza mjamzito sometimes anatakiwa afanye mazoezi
 
Hiyo Mimba ndo inamsumbua pole sana ...akijifungua tu hali itabadilika,Mie nakumbuka nilikuwa nagombana na bosi wangu kila siku mpaka nikahamishwa ofisi kwa muda Imagine ni boss lakini hutaki kumuona ,asikusemeshe kasheshe , kila kitu kibaya Vumilia tu
 
mkuu mimba ishaanza kukuchukia. Hana sababu yeyote. Ni basi tu vitabia va mimba. Akijifungua atabadilika sana. Vumilia kwa sasa. Kama haufahamu ivo vitabia va mimba unaweza dhani HAKUPENDi.
 
pole sana ila kwa experience huyo mwnamke laaima anabwana ambae kwa wakati wao wanawasiliana na kubembelezana kwaio we kwa kua amekuzoea anakuona tabu tuu ila yuko anae mpa uongo amabo ye anaona mzuri
 
you are almost there bado mwezi mmoja atakaa sawa .. vumilia broda
 
pole sana ila kwa experience huyo mwnamke laaima anabwana ambae kwa wakati wao wanawasiliana na kubembelezana kwaio we kwa kua amekuzoea anakuona tabu tuu ila yuko anae mpa uongo amabo ye anaona mzuri

Hebu usimdanganye mwenzio bwana
 
NGOSWE una utoto mwingi na hujijui ndo maana umeleta thread alafu unabishia ushauri uliokuwa unautaka yani kwa kifupi ule usemi wa "mwomba ushauri huwa keshaamua jambo anataka sapport umetimia"
 
Kilikouu acha uongo wako we unaongelea xperienc gani unataka kumlinganisha huyo mjamzito na uchafu uliofanya wewe huna haya? bak 2 topic... mm ni mwanamke naelewa inavyokuwa na tena wakati mwingine mtu unasikia hasira bila sababu za msingi kama wenzangu walivyotangulia kusema hii hali itaisha very soon pia usiache kumfwata kwa kumkomoa ila ongea naye kwa upendo maana inaonyesha hiyo ni mimba ya kwanza..mkubaliane kwa upendo tu ni vizuri akaanza utaratibu wa kutembea hata nusu ya hizo 5km kila siku ili mtoto awe active na hii inarahisisha zoezi zima la kujifungua hasa kipindi hiki cha mwisho..pia ombeaneni ili zoezi zima liishe salama na amani furaha na vicheko virudi..all the best ..mwisho naomba utupe mtazamo wako
 
mwache afanye mazoezi..wewe unataka ajifungue kwa kisu?..halafu kama hiyo mimba ina miezi 8..wiki kesho mwambie aombe ruhusa akajisubirie...

ila na wewe huna huruma hivi unazijua km5 kwenda kwa mguu kwa mjamzito?
 
Wakati mwingine ni kukudekea na wakati mwingine ni mabadiliko ya mwili. Mimi binafsi yalinikuta shem wako alikuwa hataki kabisa kuniona alikuwa anananichukia mbaya wakati mwingine akiniona nikikaa karibu naye anatapika na alikuwa ananichukia kwelikweli yaani ilibidi nimhamishe akakae na mama. lakini baada ya kujifungua mtoto wa kiume mambo yalirudi kama kawaida. Nakumbuka mimba ilipokuwa changa nilitapika na kula maembe utadhani mimi ndio mjamzito wakati yeye wala hakuwa na hiyo hali lkn akawa ananichukia tangu mwezi wa 3 wa ujauzito wake hadi kujifungua. Chamuhimu ongeza upendo kwake na wala usionyeshe kukereka wala kukasirika. Hahahahaha nadhani hilo litakuwa dume liko tumboni maana watoto madume wasumbufu sana na husababisha mke kukuchukia mno(hii ni kwa mujibu wa bibi yangu na shangazi yangu walivyokuwa wakiniambia)
 
hizo ni swaga zao wakiwa na mimba
mimi kuna rafiki yangu hapa mke wake anamimba-cha ajabu kampiga stop asimuone nyumbani-kila siku jamaa akirudi ni full kugombana
sasa sijui huyo mke anataka jamaa akalale wapi
so ni mambo ya kawaida
 
Kaka umesomeka ngoja niwe mpole for time being ila zoezi la ku-shutle kwenda kazini atafanya hadi ajifungue ..... hilo nimesema sirudishi moyo nyuma. Nafanya hivyo ili at the end aweze ku-value thamani ya kumpeleka na kumrudisha ili asirudie tena upuuzi wake.

Ngoswe mimi mwenzio nimetoka kujifugua hivi karibuni. Mwanamke anapokuwa mjamzito anakuwa na mapungufu mengi inaweza kuwa hasira sana kumchukia mtu fulani,kumpenda mtu fulani,vumilia yatakwisha
 
embu madaktari mtupe muongozo,hizo mood swings zinakuwa throughout pregnancy ama miezi ile ya mwanzo tu????nahisi mnacoment kihisia zaidi na kuonyesha sympath kwa huyo mama mjamzito ignoring the fact she is giving hard time mwenzie na nyumbani pamekuwa living hell for him!..........................


Ngoswe mie nahisi nyumbani kwenu hamna communication nzuri,hamuongei kama couple nyingine zinavyofanya kutafuta suluhu,huyo bibie nahisi anataka tu more attention kutoka kwako au kuna jambo amelisikia kuhusu wewe au kuna jambo umelifanya hakufurahia na anashindwa kukuambia moja kwa moja,kununa inabakia kama njia yake ya kukufikishia ujumbe.usimuignore tafadhali kama unavyofanya endelea kumuonyesha upendo/kumjali...kumpa lift.......ila vunja ukimya tafuta jioni moja mkishapata chakula ongea naye kwa upole muulize tatizo nini,usiongee naye kama tayari umechaweka conclusions zako au kwa kumkaripia....ongea naye ukionyesha kujali hisia zake na kuonyesha bado unampenda na unatafuta suluhu ya maisha yenu....lazima atafunguka......na next time mkigombana sio kila mtu anune ashike lake....jaribu muwe mnaongea mara kwa mara na kumaliza tofauti zenu......nachoona hamna communication kati yenu na msipoliaddress hili hata baada ya pregnancy bado mtakuwa na tofauti zisizoisha....all the best.
 
mimi ninachokiona ni kwamba Ngoswe hukupata mafundisho b4 ndoa,haya yote usingeyashangaa wala kukuumiza. We mpende kwa kadiri uwezavyo,muombee ajifungue salama. Hayo ni mambo ya kawaida kwa mjamzito kabisa,usishindane nae asilani utaonekana wewe ndio mkosaji hata ujitee vipi. Pole kuwa na subira
 
vumilia muda mfupi ujao atajifungua na hayo unayoyaona yatakwisha la yakiendelea utatambua kuna tatizo.........na si kumwacha ni kutafuta chanzo/uvumbuzi wa tatizo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom