Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,850
Ingekua ni uwezo wangu ningemwambia huyo kaka aachane na huyo mwanamke. She is not wife materialJamani utakaa na mtu wako Mfano mwaka usijue uwezo wake kiuchumi, afu hela kuna muda haijifichi jamani. Kaka hana kosa, ni upumbavu wa huyo mwanamke. Na inavyoonekana hampendi huyo kaka, wakioana huyo kaka atachunwa hadi ajute. Shameless woman, unamkomoa mtu ambaye unatarajia kuishi naye for the rest of your lives khaaaa
Ila kaka nae ujue anatakiwa ajirekebishe upande wa matumizi