Ndoa ikiwa changa raha sana

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,444
Reaction score
62,789
Mkiwa mnaishi wenyewe bado kupata watoto, ndani ya mjengo mkubwa ni raha sana. Alafu uwe na mzigo wa maana, unaweza kuiona dunia yote ni ya kwako. Tunasema hapo maisha ni full shangwe, hakuna kuchelewa kufika nyumbani, muda wote unatamani muwe wawili tu kwenye eneo lenu la kujidai.

Vijana tuoeni jamani, lakini pia tuoe tukiwa tumeshajipanga ili tufurahie mema ya dunia.
 
Kweli Kaka

Miwenyewee nimejiopolea kamanda wangu wakike mrembo na nyumba tumejenga master nzuri

Afu tuko wenyewee tuu ndani kila kitu dah achaaaa.Yaan niku chinja kuku kila weekend na Kula wenyeweee na kulanaaa

Rahaaaa kandoa kenyewee kana miaka 3 tuu dah

Tuoee vijanaaa warembo wazuri wenye future na mipango ya pesaa.

Sio ukurupue ta...k..o na Sura mipango F.

Utajutaa kijanaaaa
 
Safi sana, mkiamua kukaa kama kumbikumbi wasio na mabawa ni nyie wenyewe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…