Ndoa hii itaendelea? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndoa hii itaendelea?

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Shomy . I, Jan 11, 2011.

 1. S

  Shomy . I JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 4, 2011
  Messages: 218
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  Kuna mume na mke. Walienda shambani na kuukuta uyoga mzuri ila hawakuwa na uhakika km uyoga ule haukuwa na sumu. Walikubaliana kumpa mbwa ilikujiridhisha. Walipofika nyumbani walipika na kisha kumpa mbwa. Siku hiyo mbwa hakupata madhara yoyote. Siku iliyofuata baada ya kuamka cha kwanza ni kumtazama mbwa. Mbwa alikuwa salama salimin! Wakajiridhisha kuwa uyoga hauna sumu. Wakaenda shamba na kuchuma uyoga wa kutosha. Waliporudi mke aliuandaa na familia yote ikala. Ilipofika saa 12 jioni mtoto aliingia kasi na kusema "baba mbwa amekufa,anatoa damu mdomoni" hapo wakajua kuwa kumbe uyoga unaua taratibu hivyo na wao kesho watakufa. No way out. Wakaanza kutubu dhambi zao. Mume akaanza " mke wangu kabla sijafa naomba unisamehe sana kwani nilikuwa natembea na mdogo wako na ile mimba aliyotoa ilikuwa yangu. Nisamehe mke wangu ili m/mungu nae akanisame" huku akiwa amepiga magoti. Mke nae " sawa nimekusamehe. Ila nawe naomba unisamehe kabla sijafa" mume "sema tu mke wangu ntakusamehe mbona we umenisamehe". Mke " Huyu mtoto wa mwisho sio wako, ni wa yule rafiki yako kipenzi(pia ni jirani yao) ni samee mme wangu". Mme akasikitika sn. Mara anaingia mtoto yule yule(wa mwisho) na kusema " baba yule mtu aliye mgonga mbwa kwa baskeli kasema atkuja kesho muonge. Ila mbwa amepona nilikua nacheza mae ss hiv kumbe alizmia tu" jamanh VIPI KUHUSU HII NDOA, ITAENDELEA? Vp km ww ni baba utafanyaje?
   
 2. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Dah me hapo ndo mwisho.
   
 3. a

  aksaf2003 Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Ndoa ipo madhambi yame balance
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  ngoma droo waanze upyaaa
   
 5. S

  Simeon Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  hapo sawa,kila mmoja kaonesha true color yake,hiyo ndoa ndo itadumu sasa,maana wamevunja ukimya,mh..ila hapo kwenye kid?
   
 6. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Itaendelea,sema kuaminiana itakuwa ngumu sana!
   
 7. E

  EL MAGNIFICAL JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 939
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  kama mi men navunja 2 cuz cpend kuchorwa na baba wa mtoto !
  sema kivumbi wa2 wakihoji chanzo cha kutemana !
  aaibuuu !
   
 8. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #8
  Jan 12, 2011
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Mwisho wa ubaya AIBU!
   
Loading...