Heshima wakuu.....
Kuna kisa nimesimuliwa kutoka kijijini kwetu kilichompata binamu yangu wa kike mtoto wa shangazi.
Kafunga ndoa ya kikristo(katika madhehebu ya katoliki) miezi mitano iliyopita. Kwa kuwa hakuwahi kumegwa na huyo jamaa yake kabla ya ndoa hakujua nini kingetokea baadae. Baada ya muda ndipo aligundua kuwa jamaa hana uwezo wa kufanya kazi kabisa(jongoo hapandi mtungi). Hivi sasa anaomba ushauri kwa ndugu na jamaa afanye nini, ameshauriwa arudi nyumbani ili taratibu nyingine zifuatwe lakini yeye hataki anaogopa kumdhalilisha huyo mume wake. Anataka ndoa ivunjwe kwa taratibu na sheria za kanisa ndipo ataondoka.
Naomba kuuliza kwa wajuzi wa sheria za ndoa (kanisa na serikali), je ndoa hii inaweza kuvunjwa???
Mchango wenu tafadhali...
kuna mtoto wa dada yangu alipata kisa kama hicho yeye mume wake alikuwa ni katekista aligoma kutoa talaka kwa amani (kanisani) lakini mahakama ikaamua na kanisa likakubali kwamba ndoa ni batili kwani NDOA ni TENDO LA NDOA. sasa kwa ishu hiyo ni makubaliano yake yeye na mume wake kama yuko tayari kumpa talaka. inabidi alishirikishe kanisa na mumewe awe tayari ili asipate kizuizi.
haswaaaaa............KWA USHAURI WA BURE jamani SHAKE WELL BEFORE USE!!!! aibu za namna hiyo zisingetokea unauziwa mbuzi kwenye gunia hivi hivi LOL!!! ILA IM VERY SORRY FOR HER!!!!Kwa hiyo kumbe inawezekana kuvunjwa..
Hivi sasa anaomba ushauri kwa ndugu na jamaa afanye nini, ameshauriwa arudi nyumbani ili taratibu nyingine zifuatwe lakini yeye hataki anaogopa kumdhalilisha huyo mume wake. ..
kweli kabisa kwa ishu hii ni muhimu kutest kabla...haswaaaaa............KWA USHAURI WA BURE jamani SHAKE WELL BEFORE USE!!!! aibu za namna hiyo zisingetokea unauziwa mbuzi kwenye gunia hivi hivi LOL!!! ILA IM VERY SORRY FOR HER!!!!
Si tuna Father Rev Masanilo humu ndani anaweza kutupa taratibu za Kuvunja Ndoa za Kikatoliki
Heshima wakuu.....
Kuna kisa nimesimuliwa kutoka kijijini kwetu kilichompata binamu yangu wa kike mtoto wa shangazi.
Kafunga ndoa ya kikristo(katika madhehebu ya katoliki) miezi mitano iliyopita. Kwa kuwa hakuwahi kumegwa na huyo jamaa yake kabla ya ndoa hakujua nini kingetokea baadae. Baada ya muda ndipo aligundua kuwa jamaa hana uwezo wa kufanya kazi kabisa(jongoo hapandi mtungi). Hivi sasa anaomba ushauri kwa ndugu na jamaa afanye nini, ameshauriwa arudi nyumbani ili taratibu nyingine zifuatwe lakini yeye hataki anaogopa kumdhalilisha huyo mume wake. Anataka ndoa ivunjwe kwa taratibu na sheria za kanisa ndipo ataondoka.
Naomba kuuliza kwa wajuzi wa sheria za ndoa (kanisa na serikali), je ndoa hii inaweza kuvunjwa???
Mchango wenu tafadhali...
kuna mtoto wa dada yangu alipata kisa kama hicho yeye mume wake alikuwa ni katekista aligoma kutoa talaka kwa amani (kanisani) lakini mahakama ikaamua na kanisa likakubali kwamba ndoa ni batili kwani NDOA ni TENDO LA NDOA. sasa kwa ishu hiyo ni makubaliano yake yeye na mume wake kama yuko tayari kumpa talaka. inabidi alishirikishe kanisa na mumewe awe tayari ili asipate kizuizi.

Heshima wakuu.....

Kuna kisa nimesimuliwa kutoka kijijini kwetu kilichompata binamu yangu wa kike mtoto wa shangazi.

Kafunga ndoa ya kikristo(katika madhehebu ya katoliki) miezi mitano iliyopita. Kwa kuwa hakuwahi kumegwa na huyo jamaa yake kabla ya ndoa hakujua nini kingetokea baadae. Baada ya muda ndipo aligundua kuwa jamaa hana uwezo wa kufanya kazi kabisa(jongoo hapandi mtungi). Hivi sasa anaomba ushauri kwa ndugu na jamaa afanye nini, ameshauriwa arudi nyumbani ili taratibu nyingine zifuatwe lakini yeye hataki anaogopa kumdhalilisha huyo mume wake. Anataka ndoa ivunjwe kwa taratibu na sheria za kanisa ndipo ataondoka.

Naomba kuuliza kwa wajuzi wa sheria za ndoa (kanisa na serikali), je ndoa hii inaweza kuvunjwa???

Mchango wenu tafadhali...
hahahaa, nimeuona umuhimu wa kuitest bidhaa kabla sijaibeba nyumbani. Naona hii habari ya vigezo na masharti kuzingatiwa + bidhaa ikishauzwa hairudishwi vitanishinda, lol
swali la kizushi hapo..
Umesha test bidhaa ngapi mpaka sasa???????lol
Napita tu. Mpe pole huyo binamu ako. Ange2mia kanuni ya SHAKE WELL BEFORE USE. Hata mm inaniuma kwani msela kaandaa haruc wakati anajijua ni impotence. Kama angekua muslim kwa sheria ze2 hakuna ndoa.