Mzalendo Uchwara
JF-Expert Member
- Jan 26, 2020
- 3,718
- 11,704
Najua jamaa alikuita kwenye ile kamati yake enzi za utukufu wake, lakini asamehewe tu kama alivyoomba. Amekosa jamani, amekosa sana, wazanzibari ..... I mean watanzania tumsamehe.
Aisee ! Ya kuambiwa alama ya kuuliza haikuonekana? Ha ha haaa! Muacheni ndugu yetu Pascal.Analipiza kisasi
KaribuTikaribishane humo kambini basiii.