hebu nikumbushe somo nililolitoa maana nina masomo mengi sana
ni karibu masomo yako yote, zaidi Yale ambayo huonyesha mbinu ya kumtambua mwenza wa kuishi nae maishani. kunasomo uliwahi kulidondosha hapa cc ni kama siku mbili hivi baada ya kutoka kifungoni,mada ilikuwa ni kushukuru wale waliokuwa wanakufariji na kama kawaida yako hukutuacha hivi ukatema na cheche watu tukaambulia
asante mwalimu ila mie nashauri somo liwe kila siku