bbwaoy
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 466
- 468
Aiseee una akili kama zangu.... Hakuna kitu kina maliza hamu ya mapenzi ndani ya ndoa kama KUTO KUWEPO KWA HELA NDANI.Kijana ndoa bila pesa haiendi kokote usijidanganye kabisa, tafuta salio kwanza..bora mahusiano/mapenzi bila pesa kwanii any time unaweza mtema ukafwata ratiba zako..ila kitu inaitwa NDOA TENA YAKI ROMA KATOLIKI ni shida mzee tafuta pesa kwanzaa..
Ila habarii etii wanawake wanatofautianaa achana nayo kabisaa mzee, wote wana enda haja ndogo wamechuchumaa.
Chungaa sana kijana wa kiume, tafuta salio kwanza kama una ndoto za ndoa yenye furaha na itakayo dumu.
Chunga Sana.
Binafsi sioi kabla sija pata fedha inayo eleweka. Maswala ya eti njoo mwanamke tuanze maisha wote sitaki... Hata kama itanichukua 40 years kuoa Mungu anipe uzima naomba.