Ndoa bila pesa, haiendi kokote.

Ndoa bila pesa, haiendi kokote.

Kijana ndoa bila pesa haiendi kokote usijidanganye kabisa, tafuta salio kwanza..bora mahusiano/mapenzi bila pesa kwanii any time unaweza mtema ukafwata ratiba zako..ila kitu inaitwa NDOA TENA YAKI ROMA KATOLIKI ni shida mzee tafuta pesa kwanzaa..
Ila habarii etii wanawake wanatofautianaa achana nayo kabisaa mzee, wote wana enda haja ndogo wamechuchumaa.
Chungaa sana kijana wa kiume, tafuta salio kwanza kama una ndoto za ndoa yenye furaha na itakayo dumu.

Chunga Sana.
Kimekutokea nn mkuu
 
Bahati nzurii sija oa mkuu ila kwa ninacho kiona kwa watu wangu wakaribu sana sanaa tu..duu!! Wanawake ni raia wa ajabu sanaa..
Yaani mtu kasomeshwa, kafunguliwa duka zuri tu la kuingiza kipato kama vile jamaa alijua one day mambo dili zake zita yumba akajihamii kwaku invest hata kaduka tu mama asimamie..ila sasa duuu!!!!
So pesa imeprove failure hapo
 
So pesa imeprove failure hapo
Kilicho tokea hapo na kisa cha hekaheka zote ni jamaa kuyumba katika mambo yake kwa sasa na mwanamke kumaliza chuo na kupata kazi, hapo sasa ndo ndoa imekuwa ndoa kweli.
 
Sasa kwanini uoe mroma wakati watoto wa kiislamu kibao mahari yaweza kuwa hata msaafu na sherehe ya harusi ni sinia la maandazi na chai unajibebea jiko mkuu, gharamaless!

Hao waroma wanaotaka purukushani kwenye ma benz na misafara kama ya waziri mkuu mahari mil.3 sherehe ya harusi million 25 waachie kina Lugumi. We pambana na hali yako tu na wale wa size yako.

Halafu kingine mwanamke hali container la computer bali anakula chakula kama unachokula wewe tu cha buku 3-5. Acha kuogopa maisha oaaa!!!!
 
Na pesa bila YESU ni makaratasi tuu hayo. Kuna faida gani ukatafuta pesa alafu SHETANI ndo anazitumia?????? tnat is demonic spirit
Shetani anatumia pesa zako wewe ukiwa humuoni umkataze???
 
Upo sawa mkuu bila pesa siku hizi hata kanisani unatengwa sembuse ndoa ...?
 
Ndoa haiendi popote? Ulitaka iende wapi wakati haina miguu mkuu
 
Kijana ndoa bila pesa haiendi kokote usijidanganye kabisa, tafuta salio kwanza..bora mahusiano/mapenzi bila pesa kwanii any time unaweza mtema ukafwata ratiba zako..ila kitu inaitwa NDOA TENA YAKI ROMA KATOLIKI ni shida mzee tafuta pesa kwanzaa..
Ila habarii etii wanawake wanatofautianaa achana nayo kabisaa mzee, wote wana enda haja ndogo wamechuchumaa.
Chungaa sana kijana wa kiume, tafuta salio kwanza kama una ndoto za ndoa yenye furaha na itakayo dumu.

Chunga Sana.
You are absolutely wrong!!!!!! Kuna ndoa za watu wenye millions,money,majumba na kila kitu ila hata miaka 5 hazijafika,ilakuna ndoa za watu masikini kabisa biashara yai kuoika maandazi ila wanaishi vizuri wapo kwenye ndoa mwaka wa 30.

NOTE.Sijawadharau watu wanaopika na kuuza maandazi
 
Kijana ndoa bila pesa haiendi kokote usijidanganye kabisa, tafuta salio kwanza..bora mahusiano/mapenzi bila pesa kwanii any time unaweza mtema ukafwata ratiba zako..ila kitu inaitwa NDOA TENA YAKI ROMA KATOLIKI ni shida mzee tafuta pesa kwanzaa..
Ila habarii etii wanawake wanatofautianaa achana nayo kabisaa mzee, wote wana enda haja ndogo wamechuchumaa.
Chungaa sana kijana wa kiume, tafuta salio kwanza kama una ndoto za ndoa yenye furaha na itakayo dumu.

Chunga Sana.
Aisee kumbe wanandoa wana pesa eeh!
 
Back
Top Bottom