Ndoa bana ni majanga tu...

Ndoa bana ni majanga tu...

Unaweza ukakuta huyo mwanamke hajagegedwa na mumewe hata miezi sita imepita


Sent using IPhone X
 
Usiamini hayo, mke wa mtu kwangu ni fursa. Nikuulize, hivi mwanamke wa mtu akikujia a kukuomba uwe unamshughlikia kwa sababu ana feeling na wewe, utamkatalia? Kumbuka, kuwanyima wenzio ulichonacho ni dhambi, utafanyaje?
Karma Bro.
Ubaya umfanyiao mtu lazima UTARUDI KWAKO tena wenye UJAZO WA JUU.

#YNWA

Wrote from Anfield..!!
 
Ndoa ni changamoto kweli lakini msizisuse ingieni mkishindwa tokeni ila mpate cha kusimulia
Yaani ni sawa na kusema "huu MTO ndio una mamba ila hebu jaribu kuogelea..!""

#YNWA

Wrote from Anfield..!!
 
Wataalam ebu nisaidien,wanasemaga mwanamke hedhi inapokoma na hamu ya kufanya mapenz huwa inakwisha,sasa hawa wamama wa 50+ inakuwaje?
Tatizo vibenten wanapiga game mpaka wanazihamsha.

#YNWA

Wrote from Anfield..!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom