Ndoa bana ni majanga tu...

Ndoa bana ni majanga tu...

Atuhumiwa kumuua mkewe baada ya kumfumania na mwanamume mwingine

Polisi mkoani Mwanza linamshikilia Pastory Majura mkazi wa kijiji cha Nyamanga wilayani Ukerewe kwa tuhuma za kumuua mke wake Amisulata James (52) baada ya kumfumania akifanya mapenzi na mwanamume mwingine ndani ya nyumba yao. Mtuhumiwa anadaiwa kumpiga mkewe hadi kusababishia mauti baada ya ‘mgoni; kutoroka.

Halafu wanakwambia ndoa za zamani zilidumu kwasababu ya uvumilivu...
Mi nadhani uvumilivu ambao unaumiza roho na nafsi ni ukatili wa hisia.

Yaani ukiwauliza vijana na ndoa zao wanaolia ni wengiii kuliko wenye furaha.Watu wanajuta kuingia kwenye ndoa

Sasa kama hali yenyewe ndio hii nadhani sasa hakuna haja ya kuoa na jamii ijaribu kuelewa hilo kwamba ambaye hataki kuolewa na kuoa wasitafsiriwe vibaya


Wrote from Anfield.


Tatizo la ndoa siku hizi ni watu/wanaume kupungukiwa na nguvu za kiume. Mwanamke anashindwa kuvumilia kisha anakwenda kutafuta mtu kama mimi nimliwaze.
 
Tatizo la ndoa siku hizi ni watu/wanaume kupungukiwa na nguvu za kiume. Mwanamke anashindwa kuvumilia kisha anakwenda kutafuta mtu kama mimi nimliwaze.
Mke wa mtu ni mlango wa jehanamu..
Utakufa broo...

#YNWA

Wrote from Anfield..!!
 
Mke wa mtu ni mlango wa jehanamu..
Utakufa broo...

#YNWA

Wrote from Anfield..!!


Usiamini hayo, mke wa mtu kwangu ni fursa. Nikuulize, hivi mwanamke wa mtu akikujia a kukuomba uwe unamshughlikia kwa sababu ana feeling na wewe, utamkatalia? Kumbuka, kuwanyima wenzio ulichonacho ni dhambi, utafanyaje?
 
Ndoa ni changamoto kweli lakini msizisuse ingieni mkishindwa tokeni ila mpate cha kusimulia
 
jomba akikudharau c unamwacha aende zako why mpaka umtoe roho as if hakuna wanawake wengine
Sasa huyu mie kwa kweli ndio namuita mwanaume sio wale mabwege wanaenda kumfumua marinda mwanaume mwezanke wakati mke ndio katoa papucbi mwenyewe.

Alafu huyu mke alimdharau kabisa mume mpaka akakuja gegedwa pale home inaonasha the bi.tch deserved to die.
 
Wataalam ebu nisaidien,wanasemaga mwanamke hedhi inapokoma na hamu ya kufanya mapenz huwa inakwisha,sasa hawa wamama wa 50+ inakuwaje?
 
Huo ndyo uanaume Ila papuch yake plus kifo hyo roho mimi cna mama D hata nikifumania c mdhuru nutamwacha aende zake
unachoongea ni kweli. papuchi zipo nyingi sana tena kama hivi leo naona hapa nikuvunja kibubu na kuwalika warembo gheto tuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom