Ndo walivyolala.

ha ha haaaaaa,unanikumbusha enzi nasoma sec,ilikuwa ikifika mida flani lazima watu wasinzie...basi ticha ilikuwa anakuamsha kwa kukurushia chaki..ukishaamka unajikausha ka ulikuwa macho,halaf unaendelea kufunua kitabu!
kama ulikuwa unapiga kelele ticha akiingia gafla unajifanya umenuna
 
Mwalimu mmoja alienda darasani huku amechoka,kufika tu akawapa wanafunzi vitabu wasome kisa cha ''watu wa pangoni''.Mara akapitiwa na usingizini na kuuchapa pale pale mezani kwake.
Gafla anashtuka anamwona msaidizi mkuu wa waalimu ndo ameshaingia darasani.....hapo hapo akaunganishia hadithi..................

''basi MFANO NILIOTOA NDO WALIVYOKUWA WANALALA WATU WA PANGONI''

na nguo zao au utupu wa mnyama?
 
ha ha haaaaaa,unanikumbusha enzi nasoma sec,ilikuwa ikifika mida flani lazima watu wasinzie...basi ticha ilikuwa anakuamsha kwa kukurushia chaki..ukishaamka unajikausha ka ulikuwa macho,halaf unaendelea kufunua kitabu!

Yaliwahi kunikumba darasani ....... Tena nilikuwa boarding Form IV.

Yaani we acha tu shetani wa kusinzia alikuwa ananipepea ili nilale vizuri, na hasa katika kipindi cha geography. Ila tangu siku niliyorushiwa chaki na mwalimu nilikoma kusinzia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom