Ndo walivyolala. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndo walivyolala.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Viol, Mar 4, 2012.

 1. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #1
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Mwalimu mmoja alienda darasani huku amechoka,kufika tu akawapa wanafunzi vitabu wasome kisa cha ''watu wa pangoni''.Mara akapitiwa na usingizini na kuuchapa pale pale mezani kwake.
  Gafla anashtuka anamwona msaidizi mkuu wa waalimu ndo ameshaingia darasani.....hapo hapo akaunganishia hadithi..................

  ''basi MFANO NILIOTOA NDO WALIVYOKUWA WANALALA WATU WA PANGONI''
   
 2. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #2
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Mzungu alipanda ndege na mbongo. Akaanza kumdharau na kuona hajui kitu. Akamwambia mbongo "Tucheze mchezo wakuulizana maswali. Ukiwa hujui unanipa mimi dola 500 na nikikosa mimi nakupa $10,000." kwa tamaa kwamba yeye mjuzi wa yote. mbongo akasema sawa. Mzungu akamuuliza, "nani walipagana world war I?". Mbongo akawa hajui akamlipa mzungu $500. Sasa mbongo akamuuliza mzungu," Kitu gani kinaenda juu na miguu mitatu na kinarudi chini na miguu minne?" Mzungu kimyyyaaa! Akamplipa mbongo $10,000. Sasa akamuuliza, "Haya sasa niambie jibu lake nini?"

  Mbongo akamrudishie $500, akamwambia "sijui"
   
 3. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #3
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hahahaha aiseee
   
 4. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #4
  Mar 4, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,559
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  khaaaaa,.!
   
 5. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #5
  Mar 4, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Jamaa aliingia kanisani bila kuzima simu,wakati ibada inaendelea simu ikaita,akaingiza mkono mfukoni kuizima,kumbe ndo
  kapokea,mara simu ikaaza kusema ''''mme mbona hutaki kupokea simu?nimekumiss sana'''jamaa akabonyeza tena kuzima kumbe ndo kaweka loud spika,''''''Honey unanikera nimeletewa tetesi kumbe haupo safarini bali upo gesti na mke wa mtu''
  watu huko ndani hoi kwa kicheko
   
 6. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #6
  Mar 4, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Teh teh dah
   
 7. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #7
  Mar 4, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,157
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  more creative teacher, kaua soo nzima class
   
 8. WAHEED SUDAY

  WAHEED SUDAY JF-Expert Member

  #8
  Mar 4, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 7,157
  Likes Received: 1,249
  Trophy Points: 280
  simu ikilia kanisani ni noma, watu wote macho kwako kama vile umejinyea
   
 9. gwankaja

  gwankaja JF-Expert Member

  #9
  Mar 4, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 1,961
  Likes Received: 1,591
  Trophy Points: 280
  Teh teh teh hiyo kali...
   
 10. B

  Bhavick JF-Expert Member

  #10
  Mar 4, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 314
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  hii kali mkuu mimi na huyu mwenye jinsia kama spika wa bunge TUNACHEEEEEKA,
   
 11. Geraldo DaVinci

  Geraldo DaVinci JF-Expert Member

  #11
  Mar 4, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 277
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  hahaha
   
 12. nelly nely

  nelly nely JF-Expert Member

  #12
  Mar 4, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 669
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ha ha haaaaaa,unanikumbusha enzi nasoma sec,ilikuwa ikifika mida flani lazima watu wasinzie...basi ticha ilikuwa anakuamsha kwa kukurushia chaki..ukishaamka unajikausha ka ulikuwa macho,halaf unaendelea kufunua kitabu!
   
 13. THK DJAYZZ

  THK DJAYZZ JF-Expert Member

  #13
  Mar 5, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145

  Searching...100%
  Loading...100%
  Network Connected !

  Umetisha !
   
 14. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #14
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  U made my dei baby. Thank u sana.
   
 15. dickson longo

  dickson longo JF-Expert Member

  #15
  Mar 5, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  we mkali tena sana tu.
   
 16. DAWA YA SIKIO

  DAWA YA SIKIO JF-Expert Member

  #16
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 8, 2011
  Messages: 985
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Niko kitandani naumwa malaria. Nimejilazimisha tu kuingia humu. But at last umefanya nicheke kwa mara ya kwanza toka kumekucha.
   
 17. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #17
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  usipime
   
 18. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #18
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  ugua pole.utapona tu usijali
   
 19. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #19
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  thanks mkuu
   
 20. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #20
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,982
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  Ur welcome baby
   
Loading...