Ndo nini sasa!!

Ndo nini sasa!!

Zamaulid

Platinum Member
Joined
May 25, 2009
Posts
20,340
Reaction score
16,799
1939453_306901606142824_8574991802398048632_n.jpg
 
Inaelekea mtoa madahajapitia hata JKT.
Angekuwa amepitia huko angejua yafuatayo:
-huyu si askari wa jeshi letu JWTZ,, maana uniform zao hawa mix fatigues na olive green uniforms
-Cheki vizuri crown na ujidhihirishe kama ni crown ya JWTZ
-Bunduki hiyo ni G3, standard NATO submachine gun, tofauti na za JWTZ ambazo ni SMG.
Huyo ni askari wa jeshi la polisi Kenya.
 
Mkuu mbona umepaniki na hakuna sehemu yoyote mleta mada aliposema ni askari wa jwtz, mbona huyu anajulikana ni polisi wa Kenya na uniform zao zinajulikana
 
Mkuu najivunia geshi letu, hizo alizofanya mtoa mada ni negative insinuations.
 
Inaelekea mtoa madahajapitia hata JKT.
Angekuwa amepitia huko angejua yafuatayo:
-huyu si askari wa jeshi letu JWTZ,, maana uniform zao hawa mix fatigues na olive green uniforms
-Cheki vizuri crown na ujidhihirishe kama ni crown ya JWTZ
-Bunduki hiyo ni G3, standard NATO submachine gun, tofauti na za JWTZ ambazo ni SMG.
Huyo ni askari wa jeshi la polisi Kenya.

Mkuu najivunia geshi letu, hizo alizofanya mtoa mada ni negative insinuations.
mtoa mada ameweka picha na title isemayo ndo nini sasa basi!!haya mongeni unayajenga mwenyewe!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom