Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,632
Mbona huyo ni afadhali kuliko huyu.............
![]()
Mkandarasi feki huyu
Mbona huyo ni afadhali kuliko huyu.............
![]()
Inaelekea mtoa madahajapitia hata JKT.
Angekuwa amepitia huko angejua yafuatayo:
-huyu si askari wa jeshi letu JWTZ,, maana uniform zao hawa mix fatigues na olive green uniforms
-Cheki vizuri crown na ujidhihirishe kama ni crown ya JWTZ
-Bunduki hiyo ni G3, standard NATO submachine gun, tofauti na za JWTZ ambazo ni SMG.
Huyo ni askari wa jeshi la polisi Kenya.
Wasio maGreti Sinka inabidi waeleweshwe, unajua tena wengine mmezoea kuwa spoon fed.mtoa mada ameweka picha na title isemayo ndo nini sasa basi!!haya mongeni unayajenga mwenyewe!
kweli usingizi mwana haramu!!hebu weka picha ya mtu aliyelala kwenye maji nithibitishe kauli yangu!!
Mbona huyo ni afadhali kuliko huyu.............
![]()