ndo nimekosa mkopo au?

ham ha

JF-Expert Member
May 13, 2013
283
48
Nimefanikiwa kufungua lakini nimeingiza namba nikaambiwa you did not secure loan for 2013/2014. sasa cjui ndo nimekosa na kama hvo inamaana na boom na accomodatioin nimekosa au. naomben msaada!!!!!
 
Aseee vuta subira tu...
Afu nikukumbushe petha ya boom,ndio hiyohyo ya accomodation...

Asee presha yapanda pesha yasusa...
 
soma vizuri kanuni za board loan kuna moja inasema "Do not depend solely on board loan"
 
inakuaje koz waliandika priority halaf nikos kabsa yaaan s2331/0027 not aquire loan for 2013/2014 wakat nimemchekia mwenzangu kapewa na koz hiyohiyo na chuo hicho hicho nit na waliandika possible loan ipo??
 
course gan? 7b bachelor degree in logistics and transport management TUITION 950,000 possible 950,000 bt is non-priority huyo xwaiba wako kapewa %?
 
Kaka kwani jinalo lilitoka kwa wale waliokosea kujaza fomu za mkopo?? Jibu fasta usaidiwe!
 
ndio maana yake kama mmekosa jiandaeni na private fee zaidi na hapo geukieni kilimo
 
course gan? 7b bachelor degree in logistics and transport management TUITION 950,000 possible 950,000 bt is non-priority huyo xwaiba wako kapewa %?
koz ni BBA chuo NIT waliandika priority rafiki yangu kapewa ila mimi wameandika i did not secure
 
Back
Top Bottom