ndo nimekosa mkopo au?

nimefanikiwa kufungua lakini
nimeingiza namba nikaambiwa you did not aquire loan for 2013/2014. Sasa
cjui ndo nimekosa na kama hvo inamaana na boom na accomodatioin
nimekosa au. Naomben msaada!!!!!

ndo umekatwa hivyo
 
mkuu kama amesoma shule za kulipia aiza o level au advance ndo huwa wananpewa hivyo..kama amesoma government akifika chuo anaweza akaappeal atpata tu..

Primary Kasoma Kayumba, O-level Kata akamaliza Advance Kata.! But Heslb award him 0%.! Unbelievable
 
Primary Kasoma Kayumba, O-level Kata akamaliza Advance Kata.! But Heslb award him 0%.! Unbelievable

nyadhifa za wazazi zipoje ila najua tu watakuwa na uchumi wa kawaida..
by da way muda mwingine huwa ni bahati nasibu kupata loan..cha msingi hapo ajue mapema anatakiwa alipe shiling ngapi ada ya mwaka anaweza lipia nusu,akifika chuo anaweza kuappeal nafikir semister ya pil anaweza kufanikiwa kupata..full mkopo..
 
nauliza jaman alyepata 100%anapata sh ngap total???

nenda kweny kitabu cha tcu angalia gharama ya hyo course uliyochaguliwa..alafu angalia mkopo wako kweny ada wamekupa shiling ngapi kama zinafanan ujue umepata mia ila kama kuna upungufu ujue unalipia mwenywe...ila kupewa mia ni vigumu sana labda uwe yatima au ukiondoa wale wanochukua course za afya...
 
duh sie tutakuwa tumepata 140% as posible ilikuwa 2600000 na wametugaia 3100000! kweli mungu mkubwa
 
inakuaje koz waliandika priority halaf nikos kabsa yaaan s2331/0027 not aquire loan for 2013/2014 wakat nimemchekia mwenzangu kapewa na koz hiyohiyo na chuo hicho hicho nit na waliandika possible loan ipo??
mwaka gan umemalza
 
duh sie tutakuwa tumepata 140% as posible ilikuwa 2600000 na wametugaia 3100000! kweli mungu mkubwa

haahahah haiwezekani hyo mkuu tulia kaa chini hyo hela imepangwa vilivyo.hapo wamejumuisha vtu vifuatavyo
1.hela ya ada (tuition fees)
2.accomodation and meals,7500 kwa cku
3.special faculty
4.hela ya field
5.stationary fees
hela utakayopewa wew hapo ukiingia tu chuo ni 650,000 kama cjakosea hapo ina maana boom na stationary..baadaye utapewa hela ya special faculty na mwisho kabisa utapewa hela pt hyo ni mwisho wa semister..

onyo..hyo hela ni nying ila ukiwa na akil mbovu ni ndogo sana...
 
hapana hiyo ada tu! jumla ni kama 5828500 sawa ndugu ada peke yake ni 3.1, meals and acomodation kwetu ni 2365000 sawa ndugu
 
nyadhifa za wazazi zipoje ila najua tu watakuwa na uchumi wa kawaida..
by da way muda mwingine huwa ni bahati nasibu kupata loan..cha msingi hapo ajue mapema anatakiwa alipe shiling ngapi ada ya mwaka anaweza lipia nusu,akifika chuo anaweza kuappeal nafikir semister ya pil anaweza kufanikiwa kupata..full mkopo..

Tupige Magoti Tusali
 
Wan jamvi
Inamaana wte hamjui hili=
You did not secure loan
mkuu hiyo ni mpya kwa kweli sis mwaka wetu mtu aliyekosa mkopo jina lake lilikuwa halipo kabisa katika majina waliyoyatoa bodi..ila inawezekana ikawa ina maanisha kuwa umekosa.pole sana usikate tamaa
 
ndo wanamaanisha nini?

Secure means fasten/fix or protect something/free from loss/danger.
Kwakuwa umeandikiwa didn't secure.bhas it means hukuweza ku#wa free from loss#means ume kuwa in danger!Kwa ufupi UMEKOSA ..nimejaribu!!
 
hapana hiyo ada tu! jumla ni kama 5828500 sawa ndugu ada peke yake ni 3.1, meals and acomodation kwetu ni 2365000 sawa ndugu

ndo nimekuambia hiyo hela waliyokupa yote wameigawa kweny vitu nilivyokuandikia hapo hakuna change itakayozid mkuu...
 
Back
Top Bottom