Ndo nimeachwa hivi au?

Ndo nimeachwa hivi au?

Jaribu kuomba game then lete mrejesho na kama akikupa Jaribu kumfanyia vitu ambavyo hujawai kumfanyia
 
Tuseme mi ndo muhusika aka. huyo binti, iko hivi kuna watu tukiwa kwenye mahusiano tunapenda kuona tunajaliwa kwa matendo na mahusiano yanapiga hatua, sasa tukikuta mambo yenyewe ni kuongeaga tuuu tukikutana tubanduanee mwanaume upo tuu vizawadi zawadi hamnaa alafu nakupenda penda nyiiingi matendo sasa zero yani mtu humuelewi elewi.
Alafu mwisho nikutane na mtu anakuzidi vigezo ndo kama hivyo najikalisha tu kimya sikwambii chochote kumbe nishakuacha kitamboo na zaidi nakua tu naomba usinitafute yani ujiongeze tu mwenyewe kwamba nishakua manyoya na ukiendelea kunitafuta nakuona keroo tuu.

Sasa jitafakari ulikua una mtreat vipi huyo mwenzio, watu hawabadiliki bila sababu. Pole lakini.
 
Atakuwa amejiongeza flan hivi
kwa jinsi ulivyoandika unadhihilisha wewe siyo type yake .yaani kifupi ameshituka kwamba alibugi.
 
Mwanaume kulalama kuachwa ni uzuzu unless wewe ni andunje na ni kipori. Tena mpenda ganda la ndizi yaan huna shughuli inayokuingiziabkipato.
 
Asante Thad swahiba wangu wa ukweli,

hakuna namna swahiba, mahusiano ya mapenzi au uchumba yanapogoma kusonga mbele bora tu mkaachana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom