Hilo nalo neno Erythrocyte, watu wanapenda sana kulalamika lakini wakishaitiwa magauni ya dira, kanga mbovu, wali kitumbo na vijikofia visivyokuwa na hata gharama ya Tshs 2,000/- wanajiona wamepata kumbe wamepatikana. Sometimes mimi huwa naumia ujinga wa watu kudanganywa kwa vitu vidogo na kuuza haki yao.ubora wa maisha unategemea na thamani ya raia husika , kama mliweza kununuliwa kwa fanta na wali kitumbo , kanga mbovu na kofia ambazo huwezi kwenda nayo hata kwenye kigodoro basi maisha haya kwenu ndio bora .