Ndo maana nataka kuhamia Mambasa

Ndo maana nataka kuhamia Mambasa

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,120
1421002715247.jpg
 
Mtoto wa Clinton huyo weye. Hata akipiga mbizi tu filimbi zinaanza kulia kuwa huendaa kuna nyangumi aliyepatwa kichaa akamzamisha. Yaani ulinzi full time.
 
Mie nilifikiri unataka kuhamia Mombasa kwa kupenda ile michezo kinyume ns jinsia... Kama ni kutaka Tasha , si uwafuate huko waliko wengi? Sweden nasikia ndio kuzuri zaidi....
 
mshana jr nipe kontakti za yule anayekimbia kajifunga kanga...
 
Last edited by a moderator:
Mambasa!, naona bunduki ya huyo rijamaa haina madhara,kailengesha Kwenye Kitambi,mtoto wa Clinton anatabasaaamu!
 
Mie nilifikiri unataka kuhamia Mombasa kwa kupenda ile michezo kinyume ns jinsia... Kama ni kutaka Tasha , si uwafuate huko waliko wengi? Sweden nasikia ndio kuzuri zaidi....

Soma vizuri heading nimesema MAMBASA SIO MOMBASA
 
Mtoto wa Clinton huyo weye. Hata akipiga mbizi tu filimbi zinaanza kulia kuwa huendaa kuna nyangumi aliyepatwa kichaa akamzamisha. Yaani ulinzi full time.

Hahah, jamaa umeua yani.
 
Soma vizuri heading nimesema MAMBASA SIO MOMBASA
Unajua tena last born alichelewa kuleta miwani. Eti alikuwa anacheza tombolela...... Samahani mgweno kama nimevunja mipaka.:smile-big:
 
Ulipokuwa mdodo ulikataa kula mchicha ukasema ni chakula ya mbusi ona sasa madhara yakwe
 
kamanda gani kakaa kizembe kias hicho?anashika g3 kama fimbo ya masai?
 
Back
Top Bottom