ndizi awakoromea wenzake!!

ndizi awakoromea wenzake!!

mtamanyali

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,161
Reaction score
616
[h=6]Matunda yalikuwa yakiongea kwenye miti yake!
Chungwa akasema,'mimi naona nafanana
na jua',
Apple akasema 'mimi nafanana na moyo',
Ndizi akasema 'jamani hebu badilisheni story'
[/h]
 
ha,ha,ha,ha,haaa... Ndizii... Amefanana na nini vile ha,ha..aaa
 
ha,ha,ha,ha,haaa... Ndizii... Amefanana na nini vile ha,ha..aaa

Anafanana na ile nyoka mtema mate halafu anakosa nguvu tena mpaka achokozwe tena nakumbuka hii kitu muzee. Nitarudi baadae kidogo
 
Si angesema anafanana na sausage au hot dog hata mhogo tena mtamu.
 
Ningesema kafanana na nini bahati mbaya sana sina muda yaaan very busy
 
Back
Top Bottom