Ndiyo formula yake au?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndiyo formula yake au??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by KakaKiiza, Sep 27, 2010.

 1. KakaKiiza

  KakaKiiza JF-Expert Member

  #1
  Sep 27, 2010
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 10,543
  Likes Received: 2,253
  Trophy Points: 280
  Hivi nyie akina Mama nikwanini unapokuwa unatongozwa lazima unizungushee na wakati unajua fika utanikubalia kwa nini usikubali mapema tukaokoa mda??Yaani anakataa mpaka anachojoa!!Mpaka ikifika kwenye shina nakuanza lugha za mapendo ndiyo anaacha kukataa jamani mwe!!Sasa mimi sijui hii ndiyo formula yake kwamba lazima akatae au basi ndivyo mlivyo??Ngoja nisubiri mawazo yenu!:lol:
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Sep 27, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  lazima tuangalie kama una nia, japo saa zingine tunajua mnatamani lakini habari ndio hiyo
   
 3. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #3
  Sep 27, 2010
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Upo?
   
 4. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #4
  Sep 27, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  teh teh teh...mimekumiss
   
 5. Papa Mopao

  Papa Mopao JF-Expert Member

  #5
  Sep 27, 2010
  Joined: Oct 7, 2009
  Messages: 3,353
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Wanawake wana mbinu bana kama Preta!
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Sep 28, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Kama ana nia na wadhamini wa kutosha unampa jimbo, au kwanza unataka wawepo wagombea wawili ili uone nani sera zake zinaweza kukunufaisha
   
 7. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #7
  Sep 28, 2010
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  unasikiliza sera zake kwanza halafu unzifananisha na za mgombea aliyemaliza muda wakekwa maendeleo ya jimbo ukiona zinalipa unapitisha :becky:
   
 8. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #8
  Sep 28, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Tatizo mgombea aliyemaliza muda wake anaweza kumwaga tshirt na kofia halafu watu wakafumba macho na kumpitisha
   
 9. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #9
  Sep 28, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ...stak nataka raha!!!! ni jambo la kiakili zaid et ni katika kujitayarisha zaid...mwanamke anambinu nyng za kuvuta hisia ili awe active panapo tendo husika !!!!!!!!!!
  kwaiyo wewe KAKAKIIZA km mliingia chumbani saa 5 asubui akaanza stak nataka zake bas we yakupasa umsikilizie tu mpaka sa atakapomaliza ata km saa 10 we subiri tu
  labda cha kumwomba apo ni asummarize ayo manjonjo yake!!!!!
  au km unaweza akianza izo stak nataka zake zisizoisha bas we shika mkombot wako then unamwambia ukimaliza mama nishtue........hahahaahah m kidng bwana!!!!!!!!!!1mpe sapot bwana wakat anadeka deka ivo bt if its too much madeko we sepa bwna!!!!!!
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Sep 28, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Rose1908 hebu ni pm ili tuone tunafanyaje nataka nione na wewe kama una kashkash kama hizo ulizozitaja hapo, unajua practical ni nzuri sana au unasemaje
   
 11. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #11
  Sep 28, 2010
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,307
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  usishangae wengi ni mpaka akawaulize mashoga zake, au akufanyie research kama una mpunga wa kutosha, siku hizi hela tu.
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Sep 28, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hap ndio huwa wananifurahisha utafikiri wanataka kushare ndio maana hata INFI haiwezi kuisha
   
 13. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #13
  Sep 28, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hahaha!hah! babu weeeeeee unitue mwana wa mwenzio!
  unataka ukanichek afu kesho uje uwaadithie makutano ?holaaaaaaaaaaaa!!!!!!
  misiwez bwana mambo izo zilikuwa form twoo enz izo bt nw m big dadaa 27 yrs hainiruhuisu mimi kuplay swaga izo za stak nataka
  ni kwamba nikijua tunaelekea kunako pambano rafiki bas naanza kusaula kwenye gari ...........nikifika kule ukumbin nakuwa READY TO KILL ....ndo kwanza nakuimiza wewe ..vp bwana vua basi mbona ivo cz wewe FINEST MDO UTAKUWA UNAMBWELA MBWELA KUVUA vz una aibu...........m kidng bwana msije mkayasimamia bure maneno yangu!!!!!!!1
  mh babu wee mbona umenifanya niongee ya sandukuni>????
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Sep 28, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Ndio maana nilikwambia uni PM ni du ze nidful kwako mbona unanichokoza asubuhi yote hii siko mbali na kompyuta yako ukae ukijua halafu mwisho wa wiki hii tuna kikao kwahiyo nitafurahi kama utakuja kuhudhuria.
   
 15. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #15
  Sep 28, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  mmh mpendwa mbona nahisi kuna kahibilis kanataka kukunyemelea?
  u do the nidful?mh tokapa na ushindwe katika jina la yesu
  ako kapepo naona kako chalinze kanakujia so b read in count t
  kamsaidie roy kuchinja kajogoo kake!!!!!!!!!
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  Sep 28, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Nataka tufanye maombi pamoja, Roy mwenyekiti wangu bwana huyo siwezi kumuangusha
   
 17. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #17
  Sep 28, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  ahh km roy included then stak
  may b ur freemansor prayer if na roy ndan
  stak mie
  ntawaombea mwenyew tu na mtapata effect yake bt kukaa pamoja na wanakondoo weus km nyinyi kufanya maomb pamoja hahaahahah stak mie!!!!!!!!!
   
 18. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #18
  Sep 28, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Mianamke ni mijinga.
  Sitaki nataka ndio tafsiri yao
   
 19. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #19
  Sep 28, 2010
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  kila nikiingia kwenye jukwaa hili lazima jogoo akorome kama simba dume
   
 20. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #20
  Sep 28, 2010
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  afazali yako we dada angu huwa huna madeko mengi!
   
Loading...