Ndivyo nilivyo .... Niko hivo....

Huyo bi shosti ni complicator kuna wadada waiga uzungu had wawa vtuko wengine ukiwakuta na ma style ya ajabu ya nywele, kujichubua ndo usiseme, bora kujiamini nakuwa natural
 
Kabisaaa dada Kasie ..huwezi ukaishi kwa principle za watu wengine. Kufuata mkumbo ni dalili za kutojiamini.. Mwanamke mjanja anajiamini.

Kabisa, mie tangu niko shule ya msingi nilikataa kuwa kwenye kundi la kufata mkumbo. Maana shuleni kwetu kulikuwa na wale watoto waliotoka familia bora basi wakati wa mapumziko alienda mahali utaona kundi linamfata. Akigombana na mtu basi kundi zima na wao hawaongei na yule mtu. Kiufupi hizi team dengue team vitumbua sijui hazikuanza leo. Mie nafanya kile ninachokipenda na ninachokiamini na ushauri ambao akili yangu umeikataa naukalia huo ushauri ila ushauri ambao unaninufaisha hata mie naufanyia kazi.

Nimejikuta nimekua hivyo sasa huyu dada wa leo naona alikuwa hajajua Kasie yukoje, baada ya bandiko hili atajua na kumfahamu Kasie sawia.
 
Nimekutana nao sana hao..yaani wanakuwa boss wa group hahahhaa nonsense!
Kujiamini na kujikubali starts with you..nimependa ulivyomkazia huyo dada kwanza. Maana anadhani wanawake wote inabidi tuishi kwa kufanana. Na ingekuwa hivyo humo majumbani na mabarabarani kusingetosha..
 
Tuma picha tukuone unavyoonekana tuwashauri na mapank wetu
 
Ggjhfxfjjhgffhjjvfxgnmbbmmgcvbnkkjkhvvvvvbbbnnn
 
Unafaa kuwekwa pambo nyumbani..sio hawa wengine mpaka mnanuniana kisa fulani ana nguo mpya yeye hana..
 
Huyo bi shosti ni complicator kuna wadada waiga uzungu had wawa vtuko wengine ukiwakuta na ma style ya ajabu ya nywele, kujichubua ndo usiseme, bora kujiamini nakuwa natural

Yeah japo kila mtu yuko huru kufanya kile atakacho, nnachogomba mie ni kulazimisha Kasie awe kama flani au asifanye hicho kwakuwa ni ushamba au haendi na wakati na si kuwa nguo imetatuka au aje basi tuu uwafurahishe wao noop mie nawaambia siko hivyo, niko hivi unionavyo kila siku.
 

Kabisaa wako ambao walikuwa na nao wanawafatisha, utakuta mtu anajiona yeye ndo fashonista ukikutana nae anakwambia alivyokremisha au kuviona flani kafanya ndo anataka na wewe uwe hivyo.

Utasikia yaani wewe hapo ungevaa kiatu cha wedge na top fupi halafu na pochi ya kinyaia basi ungetokelezea..... hehee mie nawaambia hapa nimetokelezea ki Kasie Kasie na kuna wanaoigaga swaga zangu hivo wallah mradi tuu sitembei utupu.
 
Unafaa kuwekwa pambo nyumbani..sio hawa wengine mpaka mnanuniana kisa fulani ana nguo mpya yeye hana..

Hahahahaha asantee hatulingani, ila yafaa kuwaelewesha kuwa kuwa vitu vya muhimu au vya lazima na vile vitu vya ziada kizungu wanasema basic needs (necessity things) and luxury things..
 
Naona umeamua kukamua ndimuu!!
Asha usoma huu uzii??

Ibilisi acha uchochezi,

Umenifanya nikumbuke kipindi Yesu anajaribiwa na ibilisi akimwambia Yesu ageuze mawe yawe mkate kama kweli yeye ni mwana wa Mungu au masujudie kisha apewe ulimwengu wote.... ila ibilisi alitolewa knock out....
 
Ibilisi acha uchochezi,

Umenifanya nikumbuke kipindi Yesu anajaribiwa na ibilisi akimwambia Yesu ageuze mawe yawe mkate kama kweli yeye ni mwana wa Mungu au masujudie kisha apewe ulimwengu wote.... ila ibilisi alitolewa knock out....
eeeeeh
basi yaishee
Hilo Jina la yesu nikisikia huwa sina ujanjaa
 
Safi sana sistaaa hua naomba mungu sana nimpate mwanamke kama wewe vipi mae umeolewa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…