G M S
JF-Expert Member
- Mar 30, 2011
- 502
- 53
Wadau naomba kujua kuna frij hapa linanichanganya hili frij lina pande mbili juu na chini, juu ni nafasi ndogo na ina sehem ya FREEZER TEMPERATURE CONTROL ambayo ni minimun had max huku ndiko maji yanakopoa had kuganda yakikaa muda mref ila huku chini ambako ndio nafasi kubwa Kuna taa na pia kuna sehemu ya REFRIGIRATOR TEMP. CONTROL nayo pia ina minimum had max. Lakn kwa vyovyote ntavyoset huku chin nikiweka maji sioni mabadiliko yoyote ktk maj naomba kujua kazi ya part hii ya friji!