Speaker
JF-Expert Member
- Aug 12, 2010
- 6,324
- 2,238
Huyu mshkaji vipi?
Eti anampigia demu wangu simu,fuatilia mazungumzo kwa ufupi:-
Jamaa:shem samahani na maongezi nawe?
baby: poa mda gani shem?
jamaa:nambie mda gani utakuwa free wewe?
baby: mie leo nipo napumzika ko sina kazi yoyote
jamaaoa tukutane saa tisa
babyoa, wapi?
jamaa: ****** GUEST HOUSE
baby:.......
hakwenda na alikata nae mawasiliano,...
Jamani ndo urafiki huu,huyu jamaa nikionana nae nifanyeje ati?