Ndio urafiki huu kweli??

Speaker

JF-Expert Member
Aug 12, 2010
6,326
2,227
Huyu mshkaji vipi?
Eti anampigia demu wangu simu,fuatilia mazungumzo kwa ufupi:-

Jamaa:shem samahani na maongezi nawe?
baby: poa mda gani shem?

jamaa:nambie mda gani utakuwa free wewe?
baby: mie leo nipo napumzika ko sina kazi yoyote

jamaa:poa tukutane saa tisa
baby:poa, wapi?

jamaa: ****** GUEST HOUSE
baby:.......
hakwenda na alikata nae mawasiliano,...

Jamani ndo urafiki huu,huyu jamaa nikionana nae nifanyeje ati?
 
Ferds

JF-Expert Member
Oct 27, 2010
1,264
190

Ngoja kwanza hii story haijaisha, wewe ulikuwepo wakati wanaongea na cm, isije jamaa kamega halafu kautosa mzigo ndio bibie anakusimulia,
 
Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,282
17,042
Zamani sana nilimwambia mshikaji wangu demu wangu ana kitumbua kikubwa sana likawa kosa...sasa hivi ni mkewe na hataki hata nimwite shemeji
 
NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,509
1,308
huyu mshkaji vipi?
Eti anampigia demu wangu simu,fuatilia mazungumzo kwa ufupi:-

jamaa:shem samahani na maongezi nawe?
Baby: Poa mda gani shem?

Jamaa:nambie mda gani utakuwa free wewe?
Baby: Mie leo nipo napumzika ko sina kazi yoyote

jamaa:poa tukutane saa tisa
baby:poa, wapi?

Jamaa: ****** guest house
baby:.......
Hakwenda na alikata nae mawasiliano,...

Jamani ndo urafiki huu,huyu jamaa nikionana nae nifanyeje ati?

nia yake yaweza kuwa si mbaya sana labda anajua udhaifu wako anataka kukuimalishia ndoa
 
Dena Amsi

R I P
Aug 17, 2010
13,082
4,224
Huyu mshkaji vipi?
Eti anampigia demu wangu simu,fuatilia mazungumzo kwa ufupi:-

Jamaa:shem samahani na maongezi nawe?
baby: poa mda gani shem?

jamaa:nambie mda gani utakuwa free wewe?
baby: mie leo nipo napumzika ko sina kazi yoyote

jamaa:poa tukutane saa tisa
baby:poa, wapi?

jamaa: ****** GUEST HOUSE
baby:.......
hakwenda na alikata nae mawasiliano,...

Jamani ndo urafiki huu,huyu jamaa nikionana nae nifanyeje ati?

Hivi ulikuwepo akipigiwa simu au umesimuliwa na demu wako
 
Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,599
1,677
Zamani sana nilimwambia mshikaji wangu demu wangu ana kitumbua kikubwa sana likawa kosa...sasa hivi ni mkewe na hataki hata nimwite shemeji

Hehehehehehe
Duh, hii kali kweli
Mkishamega jamani usiwatangazie rafikizo ooh anakatika kweli, oooh anakula koni ile mbaya, oooh
Jamani mengine tunajitafutia wenyewe
 
Safari_ni_Safari

JF-Expert Member
Oct 5, 2007
23,282
17,042
Hehehehehehe
Duh, hii kali kweli
Mkishamega jamani usiwatangazie rafikizo ooh anakatika kweli, oooh anakula koni ile mbaya, oooh
Jamani mengine tunajitafutia wenyewe

Haswa...mimi ningeshauri hata shemeji umtoe kwenye avatar yako...watu wengine hata busu wanamaindi
 
RR

JF-Expert Member
Mar 17, 2007
6,933
1,951
Hivi kuna mtu anaweza kwenda kutongozea gesti kabisa eh......huyu ISC hatumhitaji...
 
GY

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
1,280
121
Huyu mshkaji vipi?
Eti anampigia demu wangu simu,fuatilia mazungumzo kwa ufupi:-

Jamaa:shem samahani na maongezi nawe?
baby: poa mda gani shem?

jamaa:nambie mda gani utakuwa free wewe?
baby: mie leo nipo napumzika ko sina kazi yoyote

jamaa:poa tukutane saa tisa
baby:poa, wapi?

jamaa: ****** GUEST HOUSE
baby:.......
hakwenda na alikata nae mawasiliano,...

Jamani ndo urafiki huu,huyu jamaa nikionana nae nifanyeje ati?

3- INFIDELATORS/INFIDELEETES wanatakiwa kushea-KIZURI KULA NA NDUGUYO!(hii sheria ni muhimu sana).ukimpata infideletee anaejituma sana gesti muhabarishe na mwenzio akamfaidi.SHARING IS CARING-KUGAWANA NI KUJALI

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
217,359
728,464
Zamani sana nilimwambia mshikaji wangu demu wangu ana kitumbua kikubwa sana likawa kosa...sasa hivi ni mkewe na hataki hata nimwite shemeji

Sijui kama kitumbua kikubwa kina mvuto ....ninafikiri kuna mengi yaliyomvuta jamaa yako kule..............
 
Katavi

Platinum Member
Aug 31, 2009
41,865
12,466
Hapo kweli hakuna urafiki, na kama walivyosema waliotangulia kosa tunalofanya ni kuwasimulia marafiki zetu mambo yetu ya siri
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

0 Reactions
Reply
Top Bottom