Ndio tarehe zake hizi

Jiuguze then ukanunue Kadi hospital basi napata Wewe pumzika na baniani nakosa sema neno yoyote!

Au Mwanangu mbinu mbinu nyingi hapo ofisini unapiga Pesa ndio Maana hutaki pumzika!!?

Cc: Mr Rocky Tized Mndengereko
dawa yao kuwaibia tu!!!
unasikia anakwambai `iko wewe unakaa iezi miwili nzima hujaja hata nikopa hela iko unapata wapi hela ya ada na ya kuacha nyumbani atakuwa ananiibia wewe` so dawa uwwaibie kweli
indian atu baya sana hawa...

cc : Mr Rocky tized & utafiti
 
Last edited by a moderator:



Yani unapiga Pesa balaa Alafu kila unavaa nguo hizo hizo zimechakaa Na Ka simu kabaya!
Khe Khe Khe
 
Last edited by a moderator:
Yani unapiga Pesa balaa Alafu kila unavaa nguo hizo hizo zimechakaa Na Ka simu kabaya!
Khe Khe Khe

Kuna jamaa kaugua dengue kidogo aage dunia, kurudi kibaruani kwake muhindi anamwambia ulikua huumwi wewe nafanya kazi nyengine, rudi nyumbani kazi basi
 
Kuna jamaa kaugua dengue kidogo aage dunia, kurudi kibaruani kwake muhindi anamwambia ulikua huumwi wewe nafanya kazi nyengine, rudi nyumbani kazi basi


Hakiyanani Mimi nazaa nae! Anipige chini wakati nalikuwa naumwa?
 
Kuna jamaa kaugua dengue kidogo aage dunia, kurudi kibaruani kwake muhindi anamwambia ulikua huumwi wewe nafanya kazi nyengine, rudi nyumbani kazi basi
teh teh teh ndo tatizo la kutokuwa na contract.

Yani unapiga Pesa balaa Alafu kila unavaa nguo hizo hizo zimechakaa Na Ka simu kabaya!
Khe Khe Khe
huwezi kupiga maendeleo ya kutosha ukiwa kwa wahindi wakoloni bora hata hawa wa sasa dawa unawaibia alafu unasepa iko hajui hata pa kukutaftia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…