Ndio naingia Dar es Salaam kwa mara ya kwanza

Ndio naingia Dar es Salaam kwa mara ya kwanza

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,441
Reaction score
166,938
1503927_783469365041427_7015233265936976154_n.jpg
 
Halafu ukiwa kijijini kwenu huwa unajifanya unajua kila kitu wewe ndo he he heee...mambo ya Bush party hayo!!!
Sasa nisijue kila kitu kwanini, nina divishen foo ya fom foo, wee unayo? Relwe nimekutana na jamaa tulisomaga nae msingi, ananiuliza kwenye facebook natumia jina gani, nikamjibu mi tangia nimelize shule mambo ya mabuku sinaga mpango nayo kabisa
 
Kwani Dar ndio wanaishi watu wajanja tuu au ?Sababu mimi sijaona ujanja wakinionesha huyo jamaa kapanda TAXI ubungo anaelekea Mbezi kuwa Shamba Boy na nimrugaruga kiasi hata mkanda wa gari umemshinda.
 
unanisimanga
 
Back
Top Bottom