Sasa hapo Dereva akim-bamaga halafu watamlaumu nani.anacho anacho kitafuta,ameshindwa kuandika namba!!!
haha watu mmeshapata msemo.....lohKumbe ndio maana wanabamagwa.
naona hajui kama jamaa yuko kwenye msafala!Sasa hapo Dereva akim-bamaga halafu watamlaumu nani.
Mkuu mkeshaji hiyo nayo kali kupindukia.Huyu naona alipigwa mkono akagoma kusimama. Jamaa akaamua liwalo na liwe akadandi hako ka rava foo.
Inanikumbusha yule traffic aliyempiga mkono jamaa pale ubungo. Jamaa akapiga gia kutambaa. Traffic naye kwa ubishi akadandia nyuma ya ile gari (pickup). Duh! Jamaa kapiga simu home waache geti wazi. Kapiga gia hadi Makongo juu, kazama naye traffic hadi kunyumba. Bahati yake traffic alikuwa na redio akawapigia wazee wa kazi wakatia timu, bila hivyo ingekuwa balaa.
Wazee wa kazi kuja, mtuhumiwa karuka ukuta kalala mbele. Jamaa wakasomba kila waliyemkuta mule wakatambaa nao. Sijui iliishaje ile maneno.
Sister upoooooo. Wasalimie Kimarahaha watu mmeshapata msemo.....loh
...Ila signature yako...!Mkuu mkeshaji hiyo nayo kali kupindukia.
Teheteheteheteheteheee, Kwikwikwikwikwii......Ila signature yako...!
Halafu hilo neno lekundu usipoliangalia vizuri....unaweza ukalitaja vingine.
nipo ndugu......poa poa salam zimefika.Sister upoooooo. Wasalimie Kimara