LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,977
- 37,879
Ni wapenzi wachache wanao weza kuachana kwa amani. Wengi huachana kwa shari na mara nyingi huachana kwa kubadilishana maneno machafu. Ifuatayo ni TOP 7 ya maneno machafu kutoka wapenzi walio achana niliyo wahi kuishuhudia ama kusikia.
1. NDIO MAANA UNA LIKISUKARI..
Jamaa alikuwa anatoka na demu mwenye kisukari, siku walipo achana akamwambia "DEMU MWENYEWE NDIO MAANA UNA LIKISUKARI!" Demu alilia sana.
2. HAUNA UWEZO WA KUZALISHA WEWE,HATA HAWA WATOTO SIO WAKWAKO.
3. We mwanamke gani? kwanza mfupi, mweusi tii, halafu mwembamba, hauna makalio na una miguu kama mikono na kitambi, nilikuwa na wewe kwa sababu ya vihela vyako tu, wanawake huwaoni?.
4. Kwa jinsi kibamia chako kilivyo, ulitakiwa ubakie kuwa na miaka minane hadi unakufa.
5... Mwanamke gani wewe una papuchi kubwa kiasi naweza kuingiza mikono ndani halafu nikapiga makofi!!!
6....Una sura utafikiri ulikufa wiki iliyo pita!!! " Mwanaume anamwambia mwanamke.
7. Afadhali hata nimeachana na wewe, kama ningezaa na wewe watoto wangu wangepata tabu sana hapa duniani, kwa sababu mwanamke mwenyewe UNA LIKICHWA LIKUBWA hadi unashindwa kusikitika kwa ishara, mwanaume atakaye kuoa wewe labda awe ametoroka gerezani.
Unaweza kuongeza na za kwako