MTINGIJOLI
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 1,460
- 1,476
Ila Ushindi Kaupata Huyo Aliesawazisha [emoji4]Wazee wa kubet hii ngoma both team score😀😀
Ila Ushindi Kaupata Huyo Aliesawazisha [emoji4]Wazee wa kubet hii ngoma both team score😀😀
Mimi navunja ndoa hapo hapo[emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24]View attachment 952369
Wanasemaga eti haina makombo[emoji24][emoji24][emoji24]Tatizo wanaume hatukubali draw, hapo lazima wife atimuliwe tu. Shida ni matumizi tofauti. Mwanaume ananunua mara moja kwa wiki , mwanamke ananunuliwa mara 10 kwa siku. Hapo ndo tatizo linakuja kichwani kwa mwanaume.
sasa unavunja ndoa vipi, si imekuwa rahisi kwako badala ya kwenda kuinunua leo kitu ipo ndani free of charge. Labda chamsingi mwambie mpige shoo kama zile mlizokuwa mkipiga huko nyumaMimi navunja ndoa hapo hapo
Aaah tatizo anaweza endelea na hiyo biashara kwa watu wenginesasa unavunja ndoa vipi, si imekuwa rahisi kwako badala ya kwenda kuinunua leo kitu ipo ndani free of charge. Labda chamsingi mwambie mpige shoo kama zile mlizokuwa mkipiga huko nyuma
Aliyeza cheni ya bandia kapewa pesa bandia waswahili tunasema ngoma droo[emoji848][emoji848][emoji848][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji24]View attachment 952369
sasa hapo ndio pa kukaa chini nakupeana kitchen part kwamba yaliopita si dwele tugange yajayo. Labda cha msingi umruhusu akawaage wateja wake ya kuwa sasa ameolewa na wewe uende ukawaage wadada poa ya kuwa umeoa, halafu maisha yanaendeleaAaah tatizo anaweza endelea na hiyo biashara kwa watu wengine
Shemeji yangu mpole mambo?Ngoma draw
Yereuwiiiisasa hapo ndio pa kukaa chini nakupeana kitchen part kwamba yaliopita si dwele tugange yajayo. Labda cha msingi umruhusu akawaage wateja wake ya kuwa sasa ameolewa na wewe uende ukawaage wadada poa ya kuwa umeoa, halafu maisha yanaendelea
😀😀😀😀😀😀😀
Kweli haina makombo ila kama hutajuwa. Ukijuwa tu makombo ya hayavumiliki ndo maana watu huuwana.Wanasemaga eti haina makombo[emoji24][emoji24][emoji24]
Nakumbuka kesho yake hii ndoa ilivunjika kila mtu na hamsini zake
Hii itadumu tatizo heshima hakuna, wapo jamaa nawafahamu, mke alikuwa muuza pombe za asili na mume ni mteja wake wakajaaliwa ndoa, mke ni mbishi anamjibu muwe hovyo hata hadharani mume akimzuia kitu mkewe haijalishi wapo wapi mke anajibu "usinibabaishe Mimi nilikuwa muuzaji na wewe mteja leo unajifanya unajua sana hebu nipishe huko" hii sijasimuliwa nimeisikia mwenyewe nikamwambia useme hivyo akajibu ndio kwani uongo? Waliokuwepo wakasema ni kweli, nimewadharau wote ila Wana watoto wakubwa tuHamsini nyingi kila mtu na kumi zake
Saa ngapi wakat yupo nyumbani na ana majukumu.Aaah tatizo anaweza endelea na hiyo biashara kwa watu wengine
Ila mara nyingi ndoa za kihivyo hua zinadumu sanaHii itadumu tatizo heshima hakuna, wapo jamaa nawafahamu, mke alikuwa muuza pombe za asili na mume ni mteja wake wakajaaliwa ndoa, mke ni mbishi anamjibu muwe hovyo hata hadharani mume akimzuia kitu mkewe haijalishi wapo wapi mke anajibu "usinibabaishe Mimi nilikuwa muuzaji na wewe mteja leo unajifanya unajua sana hebu nipishe huko" hii sijasimuliwa nimeisikia mwenyewe nikamwambia useme hivyo akajibu ndio kwani uongo? Waliokuwepo wakasema ni kweli, nimewadharau wote ila Wana watoto wakubwa tu
Kwa hiyo wakaaganie ofisini? Hii kalisasa hapo ndio pa kukaa chini nakupeana kitchen part kwamba yaliopita si dwele tugange yajayo. Labda cha msingi umruhusu akawaage wateja wake ya kuwa sasa ameolewa na wewe uende ukawaage wadada poa ya kuwa umeoa, halafu maisha yanaendelea
😀😀😀😀😀😀😀
Mimi Nina Imani moja kwamba me huoa ubavu wake, haijalishi huo ubavu uko wapi na unafanya nini? Na kama si wake ndoa haidumu.Ila mara nyingi ndoa za kihivyo hua zinadumu sana
Hahahah mi naona hii ni Both Teams To Score.Wazee wa kubeti wanaita double chance 12