Ndio maana nilitamani kuwa daktari, hasa mkunga.....!

Konakali

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
1,533
263
Unakuta mkeo anajifungua, ukampeleka kwa daktari (ambaye ni mwanaume)....! daktari huyu anakuamuru umuache mkeo hospitalini under his care for say two weeks....! Kila mara anamtembelea na kumchezeachezea kwa central fingers zake, tena peupe kabisa, huku wakiwa ndani ya kuta nne na wako peke yao....! Lakini siku ya mwisho, wewe na mkeo mnafuata huyo daktari kwa pamoja na kumshukuru kwa kumwambia "Asante sana doctor"...! Patamu kweli....!
 
punguza wivu unadhani anamla panya? hapo anaangaliwa kama njia inaongezeka.Mkeo atakuwa ni mjinga kama atakubali kuliwa wkt anasubiri kujifungua..lakini si hawafungu mlango na manesi wapo karibu???? acha woga na punguza mawazo ya wivu.kina mama wakiamua kuliwa wala hutajua hivo ni bora kuaminiana.
 
wakati mwingine wajila wenyewe na madildo. Watambua hilo? Ona wiu nasi kwa hilo. Loh
 
japo akuna chako peke yako ila inauma mwanaume mwenzako kumchezea ikulu mkeo kweupee kwa raha zake kisa bingwa wakinamama me cendi kumshukuru wala ctopenda kumwona uongo mbaya ile k2 inaeshima yake ati
 
Naiita marital pessimism, hata kama ni kweli pumguza wivu. Hujachelewa nenda tu chuo uwe dr!
 
Unakuta mkeo anajifungua, ukampeleka kwa daktari (ambaye ni mwanaume)....! daktari huyu anakuamuru umuache mkeo hospitalini under his care for say two weeks....! Kila mara anamtembelea na kumchezeachezea kwa central fingers zake, tena peupe kabisa, huku wakiwa ndani ya kuta nne na wako peke yao....! Lakini siku ya mwisho, wewe na mkeo mnafuata huyo daktari kwa pamoja na kumshukuru kwa kumwambia "Asante sana doctor"...! Patamu kweli....!

Wivu tuu. Mbona mnaambiwa muwe pale wakati wake zenu wakijifumgua mnakataa?
 
Halafu cha kushangaza wanaume kukimbilia kusomea udaktari bigwa wa magonjwa ya wanawake ili tu waweze kuzichezea nyuchi za wanawake bila kushitakiwa.

Lakini hamna jinsi hata mimi dokta mwanaume ndie aliyeshughulikia kujifungua kwa mke wangu na baada ya hapo tukawa tunakutana bar namnunulia beer, sasa hili swali/hoja ya leo imenipa hisia zingine, ila nashukuru nilishahama ule mkoa.
 
Na wengine wana upgrade uhusiano from docto*r-patient kuwa love*r-patient.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom