nonino
Member
- Apr 11, 2012
- 32
- 12
Hayo Ndio yaliyo Kuwa manenoya Jirani yetu,baada ya kutoka kazini siku chache zilizopita.Mara nyingi anatusimuliaga ofisini kwao Kuwa human resources manager ni mkorofi sana,ni mwanamke hy manager,mnyanyasaji,Mara nyingi anatumia lugha chafu sn anapoongea na wafanyakazi, sababu tu kampuni ni ya mumewe.
Sasa hivi karibuni ktk idara ya fedha,aliletwa mkuu wa idara mpya jamaa anatoka mkoa wa Mara.(tumwite Chacha Mwita).Sasa issue ilianzia wakiwa ktk kikao cha wakuu wa idara,hiyo HRM akatofautiana Kauli na Chacha Mwita,Kama kawaida yake mama akaanza kutoa lugha mbovu mbovu,Chacha Mwita akamsihi HRM atumie lugha nzuri,HRS akamjibu huwezi kunifanya lolote nakwambia na Kama limekuchoma acha kazi.
Chacha Mwita akamwambia,siachi kazi na adabu nitakufunza Leo,alimfata akamshika akamchapa vibao vya kutosha,na Hamna aliyenyanyuka kumtetea,akakimbia kwenda kumwambia mkurungenzi ampigie simu mumewe,unajua jibu alilolitoa mumewe?
Ni hili,"Leo wamemuweza eeh,sasa myamalize wenyewe uko uko Mimi hayanihusu,na huyo jamaa sitaki aondoke Kama hataki labda yeye Ndio uondoke."akakata simu.