Ndio maana nawapenda wanaume wa kikurya

Ndio maana nawapenda wanaume wa kikurya

CEO anayetaka kuboresha utendaji kwenye kampuni yake hawezi kumuajiri wife crazey alete drama ofisini.

The presented picture is wrong on so many levels.

mkuu hii ipo sana kwenye makampuni binafsi....management yote inakua ni familia
 
mkuu hii ipo sana kwenye makampuni binafsi....management yote inakua ni familia

Mie sipingi mtu kuajiri fam katika kampuni yake, many a mom and pop shop are running succesfully like this.

Tatizo linakuja mtu anaposhindwa ku discipline mfanyakazi kwa sababu ni mtu wa familia kiasi cha kusababisha matatizo kwa wafanyakazi wengine au utendaji wa kampuni.
 
Huyo CEO amefanya watu wajutie missed opportunities za kumzaba vibao mkewe lol
waliogopa kufukuzwa kazi

Hapo akijaribu staff mwingine kumzaba vibao kitanuka si unajua kuna mazingira opportunity huwa moja tu ikirudiwa tena unaambiwa umeiga lete mpya hivyo tunakufukuza kazi kwa kuleta madhara
 
Ha ha ha hii story umeipika vibaya sana.. Yaan mtu mlieapa nae kwa shida na raha apigwe makofi uchekeleee...

Hata kama anakosea nitagombana nae nyumbani kama vipi nitamwachisha kazi na kumfungulia biashara zake as kufanya kazi na wife ofisi moja ni shida lakini hawezi pigwa makofi na mfanyakazi wangu nichekeleee...

Kuna lecture mmoja chuo alikuwa anatupiga mkwara as alimkamata mke wake chuo suplementary na hakumuachia mpaka akadisco sasa akawa anasema kama hakumuonea huruma mke wake walieapa kanisani kusadiana kwenye shida na raha
Hawezi msamehe kiumbe mwingine wowote akifeli na alikuwa kauzu sana huyo ticha
 
.. Inapotakiwa mtu kupewa discipline naapewe tu. Ila huyo jamaa ame-take bonge la risk maana barua itamfuata nyuma..kumchapa HR manager si mchezo kwakweli..
Sawa lakini huyo HR hakuwa mstarabu, yenye anatakiwa awe mfano wengine waige sasa anaonesha wengine tabia gani weldone chacha mwita, dawa ya moto ni moto sio maji, Hahaha.
 
unaweza kukuta chacha mwita aliletwa makusudi na mwenye kampuni kwa kuwa anajua ni JEMBE na ni mwarobaini tosha wa tabia za mkewe
 
wewe muongo wakurya hawapigi kwa kutumia ngumi wanatumia zana za chuma au zana za mwisho za mawe
 
.. Inapotakiwa mtu kupewa discipline naapewe tu. Ila huyo jamaa ame-take bonge la risk maana barua itamfuata nyuma..kumchapa HR manager si mchezo kwakweli..
Ushahidi hakuna aliyeona Mama wa Mkurugenzi akichapwa vibao ni uzushi na katunga tu. Ofisini Sheria zinakataza kupigana na kutoleana maneno machafu.
Kama kila siku Mama anatukana na hamuoni basi naye kala zake hakuna aliyemuona na haachishwi kazi mtu
 
Ha ha ha hii story umeipika vibaya sana.. Yaan mtu mlieapa nae kwa shida na raha apigwe makofi uchekeleee...

Hata kama anakosea nitagombana nae nyumbani kama vipi nitamwachisha kazi na kumfungulia biashara zake as kufanya kazi na wife ofisi moja ni shida lakini hawezi pigwa makofi na mfanyakazi wangu nichekeleee...

Kuna lecture mmoja chuo alikuwa anatupiga mkwara as alimkamata mke wake chuo suplementary na hakumuachia mpaka akadisco sasa akawa anasema kama hakumuonea huruma mke wake walieapa kanisani kusadiana kwenye shida na raha
Hawezi msamehe kiumbe mwingine wowote akifeli na alikuwa kauzu sana huyo ticha
Hujaoa wewe Oa Mrangi au Msandawe, wanapiga kelele na matusi hasa akihakikisha majirani wamejaa na atakuadhiri hasa mpaka umpe talaka halafu anaamua kutxxxxxx na jirani yako au kaka yako na ulivyo mpole huwezi mpiga. akichezea kichapo utaenda mtetea au utapigana hapo mtaani na km hukumkuta Mkurya atakuchanganya naye atokomee
 
Mwita Maranya si unaona sasa? Ndio maana mie nilikuwa nasitasita sana kuruhusu babu Asprin apokee mahari toka kwako. Ushahidi huoooo wazi kabisa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom