Ndio maana nawapenda wanaume wa kikurya

nonino

Member
Apr 11, 2012
32
12
Hayo Ndio yaliyo Kuwa manenoya Jirani yetu,baada ya kutoka kazini siku chache zilizopita.Mara nyingi anatusimuliaga ofisini kwao Kuwa human resources manager ni mkorofi sana,ni mwanamke hy manager,mnyanyasaji,Mara nyingi anatumia lugha chafu sn anapoongea na wafanyakazi, sababu tu kampuni ni ya mumewe.

Sasa hivi karibuni ktk idara ya fedha,aliletwa mkuu wa idara mpya jamaa anatoka mkoa wa Mara.(tumwite Chacha Mwita).Sasa issue ilianzia wakiwa ktk kikao cha wakuu wa idara,hiyo HRM akatofautiana Kauli na Chacha Mwita,Kama kawaida yake mama akaanza kutoa lugha mbovu mbovu,Chacha Mwita akamsihi HRM atumie lugha nzuri,HRS akamjibu huwezi kunifanya lolote nakwambia na Kama limekuchoma acha kazi.
Chacha Mwita akamwambia,siachi kazi na adabu nitakufunza Leo,alimfata akamshika akamchapa vibao vya kutosha,na Hamna aliyenyanyuka kumtetea,akakimbia kwenda kumwambia mkurungenzi ampigie simu mumewe,unajua jibu alilolitoa mumewe?

Ni hili,"Leo wamemuweza eeh,sasa myamalize wenyewe uko uko Mimi hayanihusu,na huyo jamaa sitaki aondoke Kama hataki labda yeye Ndio uondoke."akakata simu.
 
Mhhhhhhhhhhhhhhhh,

Ngoja niwe mtazamaji....

Ila kupiga mtu si ni kuvunja sheria, kama ilivyo kutukana?

Babu DC!!
 
Hayo Ndio yaliyo Kuwa manenoya Jirani yetu,baada ya kutoka kazini siku chache zilizopita.Mara nyingi anatusimuliaga ofisini kwao Kuwa human resources manager ni mkorofi sana,ni mwanamke hy manager,mnyanyasaji,Mara nyingi anatumia lugha chafu sn anapoongea na wafanyakazi, sababu tu kampuni ni ya mumewe.

Sasa hivi karibuni ktk idara ya fedha,aliletwa mkuu wa idara mpya jamaa anatoka mkoa wa Mara.(tumwite Chacha Mwita).Sasa issue ilianzia wakiwa ktk kikao cha wakuu wa idara,hiyo HRM akatofautiana Kauli na Chacha Mwita,Kama kawaida yake mama akaanza kutoa lugha mbovu mbovu,Chacha Mwita akamsihi HRM atumie lugha nzuri,HRS akamjibu huwezi kunifanya lolote nakwambia na Kama limekuchoma acha kazi.
Chacha Mwita akamwambia,siachi kazi na adabu nitakufunza Leo,alimfata akamshika akamchapa vibao vya kutosha,na Hamna aliyenyanyuka kumtetea,akakimbia kwenda kumwambia mkurungenzi ampigie simu mumewe,unajua jibu alilolitoa mumewe?

Ni hili,"Leo wamemuweza eeh,sasa myamalize wenyewe uko uko Mimi hayanihusu,na huyo jamaa sitaki aondoke Kama hataki labda yeye Ndio uondoke."akakata simu.

Natamani huyo mkuu wa fedha ahamie hapa kwetu,...maake hata wetu ni mtata kinoma..halafu ni mama mtu mzima sasa...lo!
 
.. Inapotakiwa mtu kupewa discipline naapewe tu. Ila huyo jamaa ame-take bonge la risk maana barua itamfuata nyuma..kumchapa HR manager si mchezo kwakweli..
 
Sasa unawapenda wakurya kwa kupiga watu au unawapenda kwa matumizi yako binafsi pia?

ulivyoandika ni kama tayari unawapenda...hili limeongezea tu
 
Insanity yake ilipanda kidogo. Wakuu wengine wa idara noumer sana.
 
Kwa mujibu wa habari inaonekana huyo mama ana matatizo katika ndoa yake na sasa yanaingia mpaka kazini.

Si kawaida kwa mume anayempenda mkewe kutoa kauli kama hiyo.
 
Sasa unawapenda wakurya kwa kupiga watu au unawapenda kwa matumizi yako binafsi pia?

ulivyoandika ni kama tayari unawapenda...hili limeongezea tu

The Boss, in short ni kwamba vibao vya Chacha ni vya wafanyakazi woote wa kampuni.

Ni kama jamaa kawasilisha kilio chao! Unakumbuka Kibanga ampiga mkoloni?
 
Kwa mujibu wa habari inaonekana huyo mama ana matatizo katika ndoa yake na sasa yanaingia mpaka kazini.

Si kawaida kwa mume anayempenda mkewe kutoa kauli kama hiyo.

ni kawaida kwa CEO anayetaka kuboresha utendaji kwenye kampuni yake!
 
Huyo CEO amefanya watu wajutie missed opportunities za kumzaba vibao mkewe lol
waliogopa kufukuzwa kazi
 
Back
Top Bottom