Ndio Kaishia Hivi?

Ndio Kaishia Hivi?

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,154
Reaction score
13,267
images.jpg
Mwenzenu Nimemkumbuka sana Mbuzi Mzee....aliishia hivi au alikula BAN?
 
mb.jpg
Mbuzi Mzee alikua maarufu sana Jukwaa la Maphotos, utakumbukwa sana na Watu8, Mzizimkavu, Boflo, Madamex, Grafani, Boflo, Kongosho, Mbu, Nyani Ngabu, Kangabo, Amavubi, Mwali, Kasaloo kyanga, Kyanga Songa na wengineo ambao watajiongeza hapa
 
View attachment 97661

hivi kweli huyu jamaa alienda wap??
 
unakumbukwa pia na Chopeko
 
mbuzi mzeeeeeeeeeeeeeeee
meeeeeeeeeeeee
 
View attachment 97661
Mbuzi Mzee alikua maarufu sana Jukwaa la Maphotos, utakumbukwa sana na Watu8, Mzizimkavu, Boflo, Madamex, Grafani, Boflo, Kongosho, Mbu, Nyani Ngabu, Kangabo, Amavubi, Mwali, Kasaloo kyanga, Kyanga Songa na wengineo ambao watajiongeza hapa
Mkuu kwa kweli ninamkosa sana hapa ndani. Bila shaka itakuwa ban, maana Mbuzi Mzee alikuwa anatupia maphoto tata ajabu.
 
Back
Top Bottom