yaonyesha ni yeye kabisa huyu MO11...
Ni masharti ya mganga si unajua tena tunaelekea uchaguzi mkuuNi ushamba auuuuu?
Ni masharti ya mganga si unajua tena tunaelekea uchaguzi mkuu
na anaona yanavyozunguka mle ndani anajua kabisa haya yanatembeaanafikiri hayo maji yanatembea Mr Rocky....
Looh !1 How did you think like that ? Aisaee nimecheka khaaswaaa!!Hahha.Hatari sana.kwaiyo nyuchi zote zilizopita kune hiyo pool anasuuzia kinywa chake....
Kwel madaraka matamu
miss u though hate u
Kwenye maneno yangu yote hakunaga neno hate sasa sijui umelitoa wapi hili neno
Miss you honey
nimeliokota huku mtaani baby
Neno baya sana hilo wala usipende kulitumia kabisa Always waza lile nakupenda nakupenda daima