Ndg Asprin | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndg Asprin

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by DaMie, Jan 19, 2011.

 1. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #1
  Jan 19, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Post zako zinanifurahisha saana
  Post zako zina busara saana
  Natamani brain yako iwe yangu.
  Yote haya ni post za wewe tu.
  Big Up Kijana. Opps Babu.
   
 2. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #2
  Jan 19, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Umejaribu kumPM?
   
 3. loveness love

  loveness love Senior Member

  #3
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thx Damie. Hata mie nilijiunga JF kutokana na Busara za Babu Asprin
   
 4. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #4
  Jan 19, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kiukweli sijajaribu ila naona napaswa sasa
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Jan 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,115
  Likes Received: 24,178
  Trophy Points: 280
  Laiti ungejua nilivovimba mbichwa...lol
  Unaweza kunipata kwenye PM pia.

  Nashukuru sana DaMie..... Babu yangu alinambia ni heri umfurahishe mtu kwa maneno matamu kuliko kwa pesa nyingi....kwa sababu pesa yaweza kuisha, lakini maneno huwa hayaishi.
   
 6. LD

  LD JF-Expert Member

  #6
  Jan 19, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ha ha ha, babu Asprin njoo huku, ila linda moyo usije ukagongwa.
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Jan 19, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Huyu Babu yangu ana busara sana sema tunagombana naye tu, pale nikimwambia nataka kuoa nyumbani kwake basi anakuwa mkali kweli juzi almanusura aniitie polisi alipoona natoka kwake.

  BABU JANA ULIKUTA KIBUA, WALI NA MAZIWA YA MGANDO
   
 8. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #8
  Jan 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,115
  Likes Received: 24,178
  Trophy Points: 280
  Sikuwahi kujua haya mapumba nayoyamwaga humu, kwa wengine ni busara...lol

  Ahsante my love loveness love.

  Naruhusiwa kukuomba urafiki?..... natamani, tatizo kuna watu wana wivu bana!
   
 9. daughter

  daughter JF-Expert Member

  #9
  Jan 19, 2011
  Joined: Jun 22, 2009
  Messages: 1,275
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Bip up babu yaani ndo umeamka tu wajukuu wako tayari na full misifa juu yako. Kweli huwa unabamba uendelee kubarikiwa mpaka ushangae
   
 10. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #10
  Jan 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,115
  Likes Received: 24,178
  Trophy Points: 280
  Naisubiria kwa hamu...utatuma lini vile?
  Hahahaha....kugongwa na TV, AC au Ukuta?

  We kijana, naona unamtafutia babu wa watu ubaya! Mabinti zangu hata kubalehe bado, we unataka kuwachakachua na ten sauzend yako!..........C.R.A.P!!
   
 11. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #11
  Jan 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,115
  Likes Received: 24,178
  Trophy Points: 280
  Umebakia wewe tu, wewe tu kumbamba babu mimi.
   
 12. DaMie

  DaMie JF-Expert Member

  #12
  Jan 19, 2011
  Joined: Mar 24, 2010
  Messages: 686
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Asante hayo maneno ndo nayataka kwa sbb najifunza. Nazidi kuona umuhimu wa JF na busara za Babu.
   
 13. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #13
  Jan 19, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Punguza ukali kwa The Finest babu. Kizuri kula na ndugu yako.
   
 14. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #14
  Jan 19, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Umeona Babu alivyo mkali ukimgusia kwenye kuozesha mabinti zake ila nimemwambia nasubiri tu muda utafika
   
 15. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #15
  Jan 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,115
  Likes Received: 24,178
  Trophy Points: 280
  Kuna kizuri na kizuri chenyewe na kuna ndugu na ndugu mwenyewe....Huyu Finest ni crap.... Mama Big ameshamharibu, sasa anataka kuniharibia mabinti zangu. NO WAY! Aende akachakachue wa FL1 kule Makambako.
   
 16. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #16
  Jan 19, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Weweeee!
  Yaani kukukaribisha kooote kule kwa mashamsham, bado hukutambua busara zangu!...Kweli isiyo riziki Hailiki!
   
 17. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #17
  Jan 19, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Babu busara zako tunazithamini sana,
  Hii hapa inanifanya nizidi kukuthamini:

  Makwenzi kwa watoto, Ngumi kwa wakubwa:israel::israel::israel:
  Kunywa bia .....maji yana bakteria!!
   
 18. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #18
  Jan 19, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Jaribu kumcheck PM akague kabisa
   
 19. loveness love

  loveness love Senior Member

  #19
  Jan 19, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Usijali nitakuPM kwa suala la urafiki, wivu kawaida ndo tushindwe kuwa marafiki bana. Sio pumba babu brain iliyotulia hiyo.
   
 20. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #20
  Jan 19, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 51,115
  Likes Received: 24,178
  Trophy Points: 280
  Tatizo PJ unakaribisha na "busara" zako za Mkono mtupu haulambwi......

  Wenzako tunakaribisha kwa bakuli la maneno matamu yenye mahaba ya kibabu..........
   
Loading...